Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nipo hospitali ya kitete hapa
Nilizaliwa hospitali ya Kitete ila huwa nina hamu ya kujua mitaa ya Tabora, nachokumbuka ni enzi za treni unashuka unapita Tabora, uwanja wa Vita ...barabara zina miembe pande zote mpaka Kanyenye (sikumbuki kingine zaidi ya hicho au kale kajengo kapo mlimani sijui panaitwa Cheyo)