Wanajf waliopo Tabora tukutane hapa

Wanajf waliopo Tabora tukutane hapa

Nipo hospitali ya kitete hapa

Nilizaliwa hospitali ya Kitete ila huwa nina hamu ya kujua mitaa ya Tabora, nachokumbuka ni enzi za treni unashuka unapita Tabora, uwanja wa Vita ...barabara zina miembe pande zote mpaka Kanyenye (sikumbuki kingine zaidi ya hicho au kale kajengo kapo mlimani sijui panaitwa Cheyo)
 
Ni matumaini yangu mu wazima,
Kwa watumiaji WA mtandao pendwa WA Jf mliopo TBR karibuni tupige mastori mbalimbali, WA mikoa mingne karibuni pia
Ebu njoo hapa Belmonte
 
Home sweet home, mie mzaliwa wa huko kitete hosptl japo kwa sasa sipo huko, baba yangu marehemu mzee........ Alikuwa akiishi hapo ng'ambo, mimi na mama yangu tukiishi mabatini, bibi na babu mzaa mama wote marehemu wakiishi isevya, bibi mzaa baba akiwepo kazima na babu r.i.p mwenyewe wa kujiita lord lucky man akiishi national..
Marehemu mshua akizikwa makaburi ya ruwenzori kule.. Japo niliondoka mdogo sana huwa nakuja kutembea, mwaka majuzi nilitembelea mgahawa mmoja hapo km unaenda stand nilikula msosi m1 matata kilichonikosha ni kile kisamvu chake, kisamvu kimenoga karanga hatariView attachment 1039394

Sent using my nokia ya tochi
Asa mbona hapo kisamvu sikioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

Hatari..ila Luca kiboko,kuna mpemba alifungua chips pale karibu na Luca alikuwa anapika chips na maudambwidamwi ya kipemba..wee baadaye zikawa zinamuozea na wateja wanazipita tu,si tukasema Luca keshamfanyia mambo[emoji23][emoji23]
Ahahahhahaha anatengeneza vizuri zinakuwa tamu sana sema mafutaa anaweka mengiii,,kuna yule babuu anatengeneza kuku ,kuku wake watamu mno yupo ile njia ya kwenda mwanza nimepasahau jina,sijui kama hilo chimbo unalijua anatengenezea kwake watamu sijawah kula toka nizaliwe ule utamu

Enhee..Isevya kwa ba Kaba🤣🤣🤣
 
Nilizaliwa hospitali ya Kitete ila huwa nina hamu ya kujua mitaa ya Tabora, nachokumbuka ni enzi za treni unashuka unapita Tabora, uwanja wa Vita ...barabara zina miembe pande zote mpaka Kanyenye (sikumbuki kingine zaidi ya hicho au kale kajengo kapo mlimani sijui panaitwa Cheyo)
Miembe bado ipo,, ila barabara sikuhiz zimeboreshwa kweli
 
Back
Top Bottom