Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Taja sheria liyovunjwa.Ni genge la wahuni.wanavunja sheria kwa makusudi wakihisi ni ngazi ya kupanda kisiasa kumbe wanaharibu.
Hili ni taifa letu sote, mimi na wewe hatuwezi kuona watu wachache eti wanajidai wao ndio wanaelewa sana kuzidi hata viongozi wanao tuongoza eti wanajifanya wanaelewa sana kuliko sheria na kanuni tulizo jiwekea.Cc Meneja wa makampuni
Mosi unasaka uteuzi kwa mtu ambaye naye anasaka kurejea ofisini! Nathibitisha Hilo kwa namba zako za chombo Cha mawasiliano unachokitumia yaani simu!
Pili, hii ni rushwa Kama zilivyo rushwa nyingine yaani unampigia na kukipigia ccm kampeni kwa kuwashambulia wanachama wa vyama vingine ili nawe urejeshewe fadhila kwa kupewa uteuzi! It's unfair!
Hili shambulio lako ni la kifedhuli na kipumbavu kwani ni sawa na kusifia taaluma yako ya kutumia grill wakati wa kuchimbia mafuta na gas na kuudharau udaktari!
Nakushauri urudi tu China ukaombe kibarua Cha kuchimba makaa ya mawe kwani siasa za bongo pasua kichwa!
Hakika unajisumbua mno na sababu ni uelewa wako mdogo juu ya Mambo ya kidunia! Bunge sio madhabahu mjomba na mbunge siyo kasisi! Baki kwenye madhabahu Ile vya huko!Hili ni taifa letu sote, mimi na wewe hatuwezi kuona watu wachache eti wanajidai wao ndio wanaelewa sana kuzidi hata viongozi wanao tuongoza eti wanajifanya wanaelewa sana kuliko sheria na kanuni tulizo jiwekea.
Tena, musiombe nifanikiwe kuingia kwenye bunge la Mwaka huu, tunataka tuhakikishe hili taifa linasonga mbele, wale wanao jidai kwamba wanaijua sana sheria mpaka kufikia kudharau kanuni zetu mimi nakuja kuwaonyesha kazi ya degree yangu ya Theology.
Wewe ndiye unaulewa mdogo.Hakika unajisumbua mno na sababu ni uelewa wako mdogo juu ya Mambo ya kidunia! Bunge sio madhabahu mjomba na mbunge siyo kasisi! Baki kwenye madhabahu Ile vya huko!
Itoshe tu kukukumbusha kuwa, mvunja katiba na taratibu pamoja na kuvuruga umoja wa kitaifa unaye huko ccm! Pambana naye kwanza kabla ya kuhangaika na wanasheria wanaojitambua na kujielewa!
Wewe ni shabiki wa Nini? Hujitambui bado! Au imepotea jukwaa la kuandika hizi limbs zako? Hilo ni jukwaa la siasa na wewe umelitumia, hivyo nawe ni shabiki wa siasa uliyevamia siasa kiduanzi? Hao waumini uliokwenda kuwasomea theolojia watakupiga mawe madhabahuni usipoangalia approach zako vyema! Achana na siasa huzijui na huziwezi pia[Wewe ndiye unaulewa mdogo ushabiki wa siasa umekupumbaza ili usielewe.
Nimekuja kuwafungua akili waliopumbazwa ili waache siasa za kishabikiWewe ni shabiki wa Nini? Hujitambui bado! Au imepotea jukwaa la kuandika hizi limbs zako? Hilo ni jukwaa la siasa na wewe umelitumia, hivyo nawe ni shabiki wa siasa uliyevamia siasa kiduanzi? Hao waumini uliokwenda kuwasomea theolojia watakupiga mawe madhabahuni usipoangalia approach zako vyema! Achana na siasa huzijui na huziwezi pia[