Wanajisifu wanaijua Sheria kumbe wameikariri Sheria ila hawailewi wala hawaifuati

Usisahau kwamba Lissu ameshiriki kuzitunga baadhi ya hizo sheria!
 
Huu usajili itakuwa Lepolepo katia ndani fungu!
 
Nimekuja kuwafungua akili waliopumbazwa ili waache siasa za kishabiki
Jifungue mwenyewe kwanza kwani umefungwa haswaaa! Isitoshe, umepumbazwa na kujitoa ufahamu wa kumnadi huyu wa ccm waziwazi bila kujificha Hadi ukamwachia namba za simu! Huo no Nini Kama siyo upumbavu na kujipendekeza kiduanzi? Acha upoyoyo kwani unadharaulika mno hapa jf!
Ikikupendeza, kakojoe ulale huenda ukaota kushindwa ubunge!
 
Ndio nafika home saa hizi ngoja niingize gari getini nikaoge kwanza nitarudi
 
Kama na wewe utakuwa sehemu ya bunge kwa sababu yoyote. Daahh basi hatuna bunge genge la failures.

Unazungumzia sheria kweli ukiwa huko (Ccm) ?!. Niambie shughuli za vyama vya siasa kupigwa marufuku kwa miaka mitano, ni sheria ipi ilifuatwa ?!
 
Ni kina nani waliokariri sheria lakini hawaielewi na wala hawaifuati?

Ni sheria gani hiyo ama zipi hizo ambazo zimekaririwa tu lakini hazifuatwi?
 

Pumba tupu[emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
Upuuzi mtupu...sijui unaongelea nn we kibibi
 
Huwezi kunielewa kwani umepumbazwa, unacho hitaji ni kufunguliwa. Niliwambia I'm finding your vaccine.
 
 
Kama na wewe utakuwa sehemu ya bunge kwa sababu yoyote. Daahh basi hatuna bunge genge la failures.

Unazungumzia sheria kweli ukiwa huko (Ccm) ?!. Niambie shughuli za vyama vya siasa kupigwa marufuku kwa miaka mitano, ni sheria ipi ilifuatwa ?!
Kupigwa marufuku mikutano ya siasa ndio owe sababu ya kutoheshimu wimbo wa taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…