Wanajisifu wanaijua Sheria kumbe wameikariri Sheria ila hawailewi wala hawaifuati

Kwahiyo???
 
facts !!!
 
We need to live in peace and harmony, where unknown criminals are not nurtured
 
Post of the month!
Umeua. Uzito, uhalisia na mantiki ya post hii inazidi nyuzi zaidi ya 1,000 za hawa jamaa zetu wliojaa kejeli, kibuli, kujitia ujuaji(wakati ni wapumbavu kama ulivyoeleza) na matusi!
 
Eti mtu ananajisi wimbo wa Taifa, alafu anabwabwaja kwenye sheria namba fulani, wimbo huu haujatajwa kwenye orodha ya tunu za Taifa! Yaani huyu amekosa akili na busara, ila amekariri vifungu vya sheria!
 
Kuandika hivi unawezaje bila kulipwa?
I love my nation and I'm ready to use my ability which have risen by my leaders to rebuke all folks who go against our laws. I don't need any kind of corruption. Anyway if you don't know me you can call me Martin Luther Jing Jr2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…