Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Wamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa;
KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI MREFU.
Uongozi si suala la kukariri vifungu tu, Bali ujanja pia. Ukitoka zako kijijini huko na ushamba ushamba wako wa kukariri vifungu basi Bado sana uongozini. Nyambaaaf