Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Amka usije kujinyea na kujikojolea kitandani, we amini kwa sasa zile posho na bapa kubwa itabakia story.Wamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa;
KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI MREFU.
Uongozi si suala la kukariri vifungu tu, Bali ujanja pia. Ukitoka zako kijijini huko na ushamba ushamba wako wa kukariri vifungu basi Bado sana uongozini. Nyambaaaf
Yani umekaa kabisa unafurahia kutongozwa na wajanja wasio na akili kichwani na unacheka kabisaWamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa;
KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI MREFU.
Uongozi si suala la kukariri vifungu tu, Bali ujanja pia. Ukitoka zako kijijini huko na ushamba ushamba wako wa kukariri vifungu basi Bado sana uongozini. Nyambaaaf
Mbona mi sijamtaja lissu kaka! Ndo kuchanganyikiwa Huku au?!!Utasubiriii sanaaa yaan utasubiri mnoooooo kwelikweli .
LISSU YUPO KUTIMIZA MAJIRA YAKE, NA NILAZIMA AYATIMIZE.
Dah, pole saaaana!π€£π€£π€£π€£π€£Fikiria ,CHADEMA iliyonyooka, yenye Kauli Moja, lugha moja, wasomi wenye akili, wasoendeshwa na tumbo, wakiongozwa na TUNDU LISSU.
Kama kaolewa mwenyekiti huko ubelgiji, sitoshangaa kumuona mfuasi wake nae akiwa ana dalili zote za kuleft group. Bahati mbaya kwako, Mimi si mleftishaji......Imani yangu hainiruhusu.Yani umekaa kabisa unafurahia kutongozwa na wajanja wasio na akili kichwani na unacheka kabisa
Ushahidi mwingine wa kuchanganyikiwa kwa nyumbu Huu. Sijui hata linakua linaongea nn nyumbu hili maskini.Amka usije kujinyea na kujikojolea kitandani, we amini kwa sasa zile posho na bapa kubwa itabakia story.
Umepewa na Bagonza upeleke unyumbuni?!!!Asiye haki hunuia mabaya juu ya mwenye haki, Na kumsagia meno yake.
Zaburi 37:12
Uongozi ni mchanganyiko wa hekima busara,hekima,maridhiano na nguvu kidogo.Ukitumia nguvu tu kwa Tanzania hufiki mbaliWamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa;
KUNA MSHAMBA FLANI ATATEMA AU KUTEMESHWA BUNGO MUDA SI MREFU.
Uongozi si suala la kukariri vifungu tu, Bali ujanja pia. Ukitoka zako kijijini huko na ushamba ushamba wako wa kukariri vifungu basi Bado sana uongozini. Nyambaaaf
Damu zinawatoka kila mahaliDah, pole saaaana!π€£π€£π€£π€£π€£
Ndo kuchanganyikiwa kwenyewe nilikokusema Huku.
Mbona hapo bado na yupo mahabusu ila kilio kipo huku uraiani na mimi naomba awabinye zaidi ya hapo tuone rangi zenu halisi.Ushahidi mwingine wa kuchanganyikiwa kwa nyumbu Huu. Sijui hata linakua linaongea nn nyumbu hili maskini.
Pole sana nyumbu; ushamba kwao Nanjilinji, sio darMbona hapo bado na yupo mahabusu ila kilio kipo huku uraiani na mimi naomba awabinye zaidi ya hapo tuone rangi zenu halisi.
Na bado maana siku zenu tunazijua na tunazihesabu kama wanaume ambao tunataka mamluki wote mpotee huko mbaliDah, pole saaaana!π€£π€£π€£π€£π€£
Ndo kuchanganyikiwa kwenyewe nilikokusema Huku.
Nipo mbezi beach ile sehemu ya ndoto yako kuishi.Pole sana nyumbu; ushamba kwao Nanjilinji, sio dar
Chama ndo kimekuwa na sura ya kitaifa kuliko ilivyokuwa na sua ya kikanda na kikabilaWamebaki na vineno vyao, au niite vichambo vyao, vile vile vya siku zote vilivyokosa mashiko Sasa........nilisharudia mara kadhaa kuwa;