Wanajitahidi wenyewe kuanzisha nyuzi za Kujifariji!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Lakini Wapi, Kwisha Habari

Kama kaolewa mwenyekiti huko ubelgiji, sitoshangaa kumuona mfuasi wake nae akiwa ana dalili zote za kuleft group. Bahati mbaya kwako, Mimi si mleftishaji......Imani yangu hainiruhusu.
Relax CHAWA wa bei ya jioni
 
Akili za kuvukia Barabara
 
Mrema: Aliyefukuzwa SI Mimi, ni majina tu yamefanana,

Leo huyooo!

CDM ni taasisi kubwa.
 
Mrema: Aliyefukuzwa SI Mimi, ni majina tu yamefanana,

Leo huyooo!

CDM ni taasisi kubwa.
Yeah, kubwa kwa manyumbu. Sie wengine tunaona na kijiosk tu Cha kuuzia karanga za mafungu za kuchemsha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…