youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
-
- #41
Hivi nyie mshajuana jinsia nn mana naona mshaanzisha na kikao kabsa[emoji102] [emoji102]Hebu muombe mkopo kwanza kabla hajakaa sawa.
Wa hivo ni bahili hata sijisumbui kujaza fomu ya mkopo
Hivi nyie mshajuana jinsia nn mana naona mshaanzisha na kikao kabsa[emoji102] [emoji102]
We ni ME au KE?!Ukishajua
Unakosea hapo kwny JF na mitandao mingine sema ktk JF tofautisha jukwaa la mahusiano, mapenz na urafiki na majukwaa mengine kuwa mwelewa usiwe mzito sanaJifunze tumeshaanzisha kikao na mambo yanaenda lakini hakuna mahali tumeulizana jinsia. Fanya jambo moja tu, jifunze kutofautisha JF na mitandao mingine.
Unakosea hapo kwny JF na mitandao mingine sema ktk JF tofautisha jukwaa la mahusiano, mapenz na urafiki na majukwaa mengine kuwa mwelewa usiwe mzito sana
Jamaa yake ni haijulikani Halafu anataka eti tumwambie za kwetu,Jifunze tumeshaanzisha kikao na mambo yanaenda lakini hakuna mahali tumeulizana jinsia. Fanya jambo moja tu, jifunze kutofautisha JF na mitandao mingine.
Ngoja nikaangalie km ni kitumbua au muhogo nisubiri usiondokeHivi nyie mshajuana jinsia nn mana naona mshaanzisha na kikao kabsa[emoji102] [emoji102]
Wewe me au ke?Kwanza ID nyingi ni fake, inakusaidia nini ukijua jinsia ya mtu usiyemjua anaetumia ID ya uongo? Hapo sijaongelea wanawake wanaojinasibu kama wanaume au wanaume ambao wamejipambanua kama wanawake.
Jamaa yake ni haijulikani Halafu anataka eti tumwambie za kwetu,
Nina vyote sijui wanaitwaje mkuu
Tuanze na wewe kwanza hiv ni ME au KE mana unawasumbua wanaume wasokujua jinsia yako
Tangu niliposhindwa kujua jinsia yako sijawah kuhusika na wewe kwa namna yoyote
Wewe me au ke?
Haya.Hata mimi sijui...kwani Samaritan mwenyewe anajulikana basi? Yuko JF online
Haya.
Nimeridhika baba.Umeridhika au umekubali tu yaishe?