Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Sidhan katika hili km kuna haja ya mtu kutoa mapovu humu ila tuchangie mitazamo yetu kwa namna ambao kila mtu analichukulia

Me sometimes mtu akicomment nataman nijue sex yake ili nijue nareply kivip coz lazma tukubaliane kureply text ya female ni tofauti na male, sasa huwa nasikitika sana pale ninapopita kwny profile yake afu sion sex yan sex hakuna kabsa.

Tatizo nn wanaJF kwn kuna mtu anamashaka na sex alonayo ama kuna ambae hana sex

Binafsi huwa sipati picha nzuri juu ya kiumbe ambcho ni moja ya jamii ya hili jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki halafu sex yako haijulikan.

Mara nyingi nimeona mtu anaulizwa we ni ME au KE, hiv unaeulizwa hayaa maswali huwa unajisikiaje labda.

Karibun kwa mitazamo,
KUMBUKA
:Kila anaecomment humu takua napitia profile yake nijue mbivu na mbichi, na takuuliza we ni ME au KE
 
Kwanza ID nyingi ni fake, inakusaidia nini ukijua jinsia ya mtu usiyemjua anaetumia ID ya uongo? Hapo sijaongelea wanawake wanaojinasibu kama wanaume au wanaume ambao wamejipambanua kama wanawake.
Kwa mfano nikikuuliza we ME au KE, how will yu feel?!
 
Pambana na hali yako jombaa walioweka wameamua na wasioweka wameamua
 
It makes no difference as long as you are concerned with my JF ID.
But what I mean is that sometimes it may turn into offensive replies that a normal human can not bear at all
There are also some kinds of embarrassment to yourself
 
Unatafuta mke au mume? Nimeona mwenzako Jana analalamika PM zimefungwa au ni wew umebadili ID
 
Unatafuta mke au mume? Nimeona mwenzako Jana analalamika PM zimefungwa au ni wew umebadili ID
Watu wenye akili na mawazo mgando km wewe wanajukwaa lao, JF ni kubwa fanya survey utawakuta wenzako
 
Back
Top Bottom