Uchaguzi 2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

Sijakuelewa kwahiyo unamaanisha hakuna haja ya kuwa na wabunge? Je unafahamu kuwa kila uliyemtaja hapo ana majukumu yake ya kiutendaji tofauti na mwingine? Je unafahamu majukumu ya mbunge?

Pia nikukumbushe kuwa ni rahisi kufikia malengo ukiwa na mbunge wa ccm tofauti tofauti kabisa na ukichagua mbunge wa upinzani, mbunge wa ccm akitaka jambo lake lifanikiwe ni rahisi zaidi kwani hao wote watasimama pamoja na mbunge tofauti akiwepo mpinzani ambaye hata akifanyiwa mema vipi yeye atapinga tu,

Yaani atapinga kuanzia bajeti serikali hadi maendeleo ya jimboni kwake, sasa kwanini uchague mtu asiye na connection? Jamani tuwe wepesi wa kuelewa mambo
"Ni rahisi kufikia malengo ukiwa na mbunge wa ccm tofauti na ukiwa na mbunge wa upinzani"..... This is totally rubbish. Hivi hujui tuko kwenye uchaguzi mkuu, na maana yake wananchi wanapewa haki ya kuamua Nani awe kiongozi wake katika nafasi gani na ni chama gani kiongoze nchi? CCM imejaza watu wenye uelewa finyu kama wewe na ndio maana mnaaminishwa hivyo na matutusa wenzako hivyo.
 
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za maendeleo miaka mingi iliyopita, huyu kwetu wana Kalenga ndiye mzalendo wa kweli na hakuwahi kuisahau kalenga hata mara moja licha ya majukumu yake makubwa aliyokuwa nayo wakati huo tena akiwa mikoa ya mbali ila hakuiacha Kalenga. Aliwahi kuwa meneja wa kanda kwenye makampuni ya simu Tigo na Vodacom.

Kiukweli amejitoa sana kusaidia wananchi wa kalenga kama vile kusomesha watoto wasiojiweza na kuchangia miradi ya maendeleo jimboni, wana kalenga tumpeleke huyu KISWAGA bungeni akatung'arishie jimbo letu baada ya kuwa pweke kwa muda mrefu.

Kalenga ndipo nyumbani kwa Mkwawa na ndipo alipozikwa. Ni aibu Kalenga kuwa moja ya maeneo masikini hapa Tanzania kisa kukumbatia ccm kwa miaka karibu 60 sasa. Marehemu Mkwawa angekuwa hai angeliwatandika viboko wote kwa kukumbatia mkoloni mweusi ccm
 
"Ni rahisi kufikia malengo ukiwa na mbunge wa ccm tofauti na ukiwa na mbunge wa upinzani"..... This is totally rubbish. Hivi hujui tuko kwenye uchaguzi mkuu, na maana yake wananchi wanapewa haki ya kuamua Nani awe kiongozi wake katika nafasi gani na ni chama gani kiongoze nchi? CCM imejaza watu wenye uelewa finyu kama wewe na ndio maana mnaaminishwa hivyo na matutusa wenzako hivyo.
Tena huyo Kiswaga kwa wanaomfahamu jamaa ni kilaza hata Shule yake ni ya kunjunga
 
Mkuu kwani ili uwe mbunge inatakiwa uwe na degree ngapi, rejea katiba inasemaje.... Lakini uongozi ni kipawa cha mtu binafsi na Mh.Kiswaga kuongoza anaweza, ndio maana nikakwambia ukihitaji kujua uwezo wake rejea kwenye majukumu yake aliyokuwa nayo huko nyuma ndipo utamuelewa yeye ni nani......kuongoza sio GPA mkuu
 
Mtoa Mada ni Mjinga. Na ujinga wako ni wa kiwango cha lami...... CCM IM3TAWALA HILO JIMBO KWA MIKA 58 HAKUNA KITU! pisheni vyama vingine wpaumbavu ninyi
 
Je hiyo sentensi ya kiingereza ni sahihi?
Nakijua nilicho andika vizuri sana, ndio maana nikasema ulipaswa soma pale nilipomjibu member kwa ku quote maneno yake, hizo grammatical errors nimeziweka makusudi.... sasa wewe ulivokomaa na hilo kosa kana kwamba hiyo ndio maada husika, au wewe ni muingereza?
 
Mtoa Mada ni Mjinga. Na ujinga wako ni wa kiwango cha lami...... CCM IM3TAWALA HILO JIMBO KWA MIKA 58 HAKUNA KITU! pisheni vyama vingine wpaumbavu ninyi
Kuna karai mwenzako hapo juu kaelezea vizuri kuwa serikali iliyopo madarakani ndiyo ilani yake inatekelezwa yaani hata aje mbunge kutoka chama cha ubelgijini bado atatekeleza majukumu yake kwa kufuata ilani ya ccm....

Sasa unaposema pisheni vyama vingine kana kwamba hiyo ilani yenu ndio inaenda kutekelezwa, huo ni upotofu wa kifikra ..... Hebu fikiria kuanzia rais,waziri,Rc, Dc,mkurugenzi hawa wote ni CCM sasa wewe kampinzani unaweza badilisha nini hapa je utaweza wapangia hao cha kufanya na wakafanya nje ya ilani yao...hapo ni kujidanganya, ila mbunge akiwa CCM wala hakuna shida connection IPO ya kutosha,..
 
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za maendeleo miaka mingi iliyopita, huyu kwetu wana Kalenga ndiye mzalendo wa kweli na hakuwahi kuisahau kalenga hata mara moja licha ya majukumu yake makubwa aliyokuwa nayo wakati huo tena akiwa mikoa ya mbali ila hakuiacha Kalenga. Aliwahi kuwa meneja wa kanda kwenye makampuni ya simu Tigo na Vodacom.

Kiukweli amejitoa sana kusaidia wananchi wa kalenga kama vile kusomesha watoto wasiojiweza na kuchangia miradi ya maendeleo jimboni, wana kalenga tumpeleke huyu KISWAGA bungeni akatung'arishie jimbo letu baada ya kuwa pweke kwa muda mrefu.

Wale wale hamna jipya hapo.
 
Wale wale hamna jipya hapo.
Nyie pingapinga mtapata tabu sana badala ya kutoa hoja uleta ugimbi hapa, toa hoja ueleweke kama kuna mgombea anamzidi kiswaga kwa wasifu wake kiutendaji basi na atajwe sasa tumsikie.......hayupo narudia tena hayupo
 
Kama vipi kamsugue basi. Maana ndio sera zenu.
 
Huu ndiyo ujinga wetu watz wengi, mbunge anakusanya kodi? kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi kuleta maendeleo ni jukumu la serikali ndiyo maana kwenye jimbo lenu kuna Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa council.

Mfumo MBOVU KABISA.

DC , DED, DAS na MBUNGE wote hawo kwa KAZI gani ndani ya WILAYA moja?

DC, DED na DAS Nani anamwongoza mwingine Kati ya hawo ili hali wote ni WATEULE WA RAIS?

Ndiyo maana MISUGUANO na MIGONGANO inayokwamisha maendeleo hutokea.

VIONGOZI WA WILAYA WAOMBE KAZI KWA WANANCHI NA WAPIGIWE KURA.

HAWO WA KUTEULIWA, WANATEKELEZA MATAKWA YA ALIYE WATEUA.
 
Wewe karai hivi unajua wasifu wa huyu bwana Kiswaga? Je unafahamu namna alivyokuwa akijitoa hata hapo kabla? Wewe mfuasi wa chama cha mbowe hivi Leo hii pale iringa mjini ikitokea chama chako wakaweka mbunge mwingine tofauti na msigwa ataongoza na kutenda sawa kama msigwa?

Acha kuwa na akili mgando mambo yanabadilika hata kwa Jpm mlisema hivyohivyo kuwa tatizo mfumo hakuna jipya atakalolifanya licha ya wasifu wake, je ni kweli kashindwa kuyafanya aliyoahidi 2015? Acha kukariri ewe karai mpinga maendeleo,

Jackson kiswaga ndie tumaini la wanakalenga, nakuhakikishia kalenga itang'ara...
pambaf wewe na huyo mumeo kura yangu hampati ninyi wezi
 
Mfumo MBOVU KABISA.

DC , DED, DAS na MBUNGE wote hawo kwa KAZI gani ndani ya WILAYA moja?

DC, DED na DAS Nani anamwongoza mwingine Kati ya hawo ili hali wote ni WATEULE WA RAIS?

Ndiyo maana MISUGUANO na MIGONGANO inayokwamisha maendeleo hutokea.

VIONGOZI WA WILAYA WAOMBE KAZI KWA WANANCHI NA WAPIGIWE KURA.

HAWO WA KUTEULIWA, WANATEKELEZA MATAKWA YA ALIYE WATEUA.
Katiba ya hovyo kabisa
 
Dodoma,Singida na Tabora imekuwa na wabunge wenye koneksheni miaka yote ya kuwepo kwake na bado imebaki kuwa fukara na ya umaskini uliotopea.

Back
Top Bottom