Uchaguzi 2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

Uchaguzi 2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

Dodoma,Singida na Tabora imekuwa na wabunge wenye koneksheni miaka yote ya kuwepo kwake na bado imebaki kuwa fukara na ya umaskini uliotopea.
Mkuu hivi hiyo mikoa unaijua au huwaga unasikiaga tu hizo stori kutoka kwa wana ufipa wenzako?, hivi Dodoma ya sasa unaijua wewe ilivyo?,pia hiyo singida na Tabora ambayo ni Toronto ya afrika umeona inavyong'ara? Hii ni CCM mpya ndugu hakuna mpinzani yeyote ambaye ungeweza Fanya hayo yote kwa kipindi kifupi
 
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za maendeleo miaka mingi iliyopita, huyu kwetu wana Kalenga ndiye mzalendo wa kweli na hakuwahi kuisahau kalenga hata mara moja licha ya majukumu yake makubwa aliyokuwa nayo wakati huo tena akiwa mikoa ya mbali ila hakuiacha Kalenga. Aliwahi kuwa meneja wa kanda kwenye makampuni ya simu Tigo na Vodacom.

Kiukweli amejitoa sana kusaidia wananchi wa kalenga kama vile kusomesha watoto wasiojiweza na kuchangia miradi ya maendeleo jimboni, wana kalenga tumpeleke huyu KISWAGA bungeni akatung'arishie jimbo letu baada ya kuwa pweke kwa muda mrefu.

Wanakalenga tunaenda na mama Grace Tendega.
 
Back
Top Bottom