Uchaguzi 2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

Dodoma,Singida na Tabora imekuwa na wabunge wenye koneksheni miaka yote ya kuwepo kwake na bado imebaki kuwa fukara na ya umaskini uliotopea.
Mkuu hivi hiyo mikoa unaijua au huwaga unasikiaga tu hizo stori kutoka kwa wana ufipa wenzako?, hivi Dodoma ya sasa unaijua wewe ilivyo?,pia hiyo singida na Tabora ambayo ni Toronto ya afrika umeona inavyong'ara? Hii ni CCM mpya ndugu hakuna mpinzani yeyote ambaye ungeweza Fanya hayo yote kwa kipindi kifupi
 
Wanakalenga tunaenda na mama Grace Tendega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…