Wanalima kweli au?

Wanalima kweli au?

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
5,457
Reaction score
963
Nisaidieni jamani...
Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!

Ni kweli wao ndio walimaji?
 
Nijuavyo mimi mtoto wa mkulima asilimia 90 ya watu wanao tekeleza sera ya kilimo kwanza ni kina mama.

Mi kijijini kwetu mama ndie analima, kuna mjomba angu ana wake 3 wake zake ndo wanao lima mashamba

Akina baba kushika jembe sijui kwa nini ni ngumu kwao wao kazi za ujenzi kuandaa mabanda lakini sio kilimo.

Na wakimaliza wababa hizo shughuli wanazo ita za wanaume basi kutwa pombe na kucheza bao
 
mhhh..umekubali au una maana gani Boss?

WOS
neno kilimo kwanza kwenye jukwaa la mmu
linamaanisha kitu kingine,thats why
tunaguna

kilimo kwanza=kulima mashambani
kilimo kwanza=sex
kilimo kwanza=kunywa pombe
kilimo kwanza=kupiga soga

the list is endless
 
nahitaji kusoma 'katikati ya mistari' WOS au ni kilimo kwanza hikihiki cha siasa?
 
Nijuavyo mimi mtoto wa mkulima asilimia 90 ya watu wanao tekeleza sera ya kilimo kwanza ni kina mama.

Mi kijijini kwetu mama ndie analima, kuna mjomba angu ana wake 3 wake zake ndo wanao lima mashamba

Akina baba kushika jembe sijui kwa nini ni ngumu kwao wao kazi za ujenzi kuandaa mabanda lakini sio kilimo.

Na wakimaliza wababa hizo shughuli wanazo ita za wanaume basi kutwa pombe na kucheza bao

Mtoto wa mjini naona leo umeingia chaka vibaya sana kiongozi wangu! hiki kilimo kwanza ni kileeee cha mambo ya 6x6! lakini kilimo kwanza huwa applicable as surprise kwa bibie....... yaani akiwa jikoni anapika nawe unakaa aside kidogo unasaidia kukata kitunguu mara mzuka unapanda kisha unalianzisha hapo hapo bila kuchange venue, au akiwa sebuleni ana-pass nguo , ile kuinama inakupa mzuka then unawasha mashine faster! na unapata full ushirikiano mkuuu! hiyo ndio kilimo kwanza!

Sio ile ya hadi kuzima taaa ya usiku tu no plse! Kilimo kwanza ni nzuri sana mkuu! try it then tuletee feedback hapa!
 
nahitaji kusoma 'katikati ya mistari' WOS au ni kilimo kwanza hikihiki cha siasa?

ni kweli kabisaa mkuuu, soma in btn the lines ndio utajua nini maana ya huu uzi, sio kichwa kichwa! nomaaaa!
 
Ngoswe acha kupotosha watu

ni kilimo cha kawaida...
Jukwaa ndio limekosewa
 
Kilimo kwanza???? kwanza kilimo??
 
Mtoto wa mjini naona leo umeingia chaka vibaya sana kiongozi wangu! hiki kilimo kwanza ni kileeee cha mambo ya 6x6! lakini kilimo kwanza huwa applicable as surprise kwa bibie....... yaani akiwa jikoni anapika nawe unakaa aside kidogo unasaidia kukata kitunguu mara mzuka unapanda kisha unalianzisha hapo hapo bila kuchange venue, au akiwa sebuleni ana-pass nguo , ile kuinama inakupa mzuka then unawasha mashine faster! na unapata full ushirikiano mkuuu! hiyo ndio kilimo kwanza!

Sio ile ya hadi kuzima taaa ya usiku tu no plse! Kilimo kwanza ni nzuri sana mkuu! try it then tuletee feedback hapa!

Mtu mzima nimeingia chaka la joka la mdimu lol
Mzee kilimo kwanza ya kwenye mapishi naona kama sio sahihi maana kuna madhara mengi kuliko faida ya kuburudika kwanza sufulia inaweza ikaungua na kusababisha moto vile vile utakuwa umechezea resources kama umeme,mkaa,mafuta,vitunguu n.k kwenda bure. Mi napenda kilimo kwanza ya uani wkt wa kufua au kuosha vyombo au kupiga deki hapo sawa sawa.
 
wos atarudi kutoa maelezo
but so far alimaanisha kilimo cha kawaida cha mashambani na sio sex...
 
Kama unaonegelea kilimo kama kilimo na sio kitu kingine wakulima wa kweli utawajua kwa majembe na sio maongezi!‘
 
Back
Top Bottom