Wanalima kweli au?

Wanalima kweli au?

WOS unafahamu kuna kidonge cha bluu siku hivi kimeleta usawa kati ya vijana na wazee.
 
Nisaidieni jamani...
Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!

Ni kweli wao ndio walimaji?



Nijuavyo mimi mtoto wa mkulima asilimia 90 ya watu wanao tekeleza sera ya kilimo kwanza ni kina mama.

Mi kijijini kwetu mama ndie analima, kuna mjomba angu ana wake 3 wake zake ndo wanao lima mashamba

Akina baba kushika jembe sijui kwa nini ni ngumu kwao wao kazi za ujenzi kuandaa mabanda lakini sio kilimo.

Na wakimaliza wababa hizo shughuli wanazo ita za wanaume basi kutwa pombe na kucheza bao


Ayaaaaaa mi nimeingia chaka nikajua kilimo kwanza ya Mizengwe Kayanza dah kumbe kilimo cha kunako lol


Ahsante mkuu kwa kunitengenezea siku nzuri
 
wos hawa wazee wengi mko nao huko uliko.....wewe waulize watakujibu
 
mimwenzenu kama mmeniacha,sijui shauri ya kurambaramba vitu hovyo
 
Unamaanisha kilimo kipi ndugu?
hivi neno kilimo limekuwa gumu sana , mbona mnashindwa kulielewa, mimi naona 2 huko kwenye uhusiano na mapenzi allikopitishia hii thread ndo amekosea njia
 
Unamaanisha kilimo kipi ndugu?

Cha kawaida kabisa mpendwa!

WOS
neno kilimo kwanza kwenye jukwaa la mmu
linamaanisha kitu kingine,thats why
tunaguna

kilimo kwanza=kulima mashambani
kilimo kwanza=sex
kilimo kwanza=kunywa pombe
kilimo kwanza=kupiga soga

the list is endless

Kilimo hicho kwenye bold

nahitaji kusoma 'katikati ya mistari' WOS au ni kilimo kwanza hikihiki cha siasa?

Hikhiki ndugu

nafikiri uko sahihi
wos kakosea jukwaa ...

Sijakosea... kwani mahusiano maana yake nini?

wos atarudi kutoa maelezo
but so far alimaanisha kilimo cha kawaida cha mashambani na sio sex...


Haswaa...

lazma wawe wasemaji wakuu cuz they are experienced kilimo maan!

Usinitanie!

Boss akija kumaanisha ni kilimo cha sex itakuwaje??

Ni hapo sasa!
 
Kilimo kwanza ndio, lakini nani anamiki shamba?
 
Kilimo kwanza ndio, lakini nani anamiki shamba?

Mara nyingi wanaume wanamiliki ardhi lakini wanaolima na kusikia uchungu wake ni wanawake na watoto.

Inapokuja kutoa maoni..wanaume tena wazee wenye kushika mkongojo ndio wanaoongea kwa uchungu na jazba! Kwanini?
 
Nisaidieni jamani...
Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!

Ni kweli wao ndio walimaji?

well.. wao ndio wanahesabu fedha za mavuno kwanza. Na ndio watumiaji wa kwanza wa faida ipatikanyo. Na siwezi kushangaa walioandaa mpango mzima wa kilimo kwanza walikuwa ni wanaume
 
well.. wao ndio wanahesabu fedha za mavuno kwanza. Na ndio watumiaji wa kwanza wa faida ipatikanyo. Na siwezi kushangaa walioandaa mpango mzima wa kilimo kwanza walikuwa ni wanaume

Nashukuru MMKJJ kwa kutuonyesha "MAHUSIANO" baina ya wababa, wamama na Fedha na ardhi!
Ni kwanini watu hudhani mahusiano ni yale ya kitandani tu?
 
Back
Top Bottom