WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Nisaidieni jamani...
Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!
Ni kweli wao ndio walimaji?
Unamaanisha kilimo kipi ndugu?
mhhh..umekubali au una maana gani Boss?
Ayaaaaaa mi nimeingia chaka nikajua kilimo kwanza ya Mizengwe Kayanza dah kumbe kilimo cha kunako lol
Nijuavyo mimi mtoto wa mkulima asilimia 90 ya watu wanao tekeleza sera ya kilimo kwanza ni kina mama.
Mi kijijini kwetu mama ndie analima, kuna mjomba angu ana wake 3 wake zake ndo wanao lima mashamba
Akina baba kushika jembe sijui kwa nini ni ngumu kwao wao kazi za ujenzi kuandaa mabanda lakini sio kilimo.
Na wakimaliza wababa hizo shughuli wanazo ita za wanaume basi kutwa pombe na kucheza bao
nahitaji kusoma 'katikati ya mistari' WOS au ni kilimo kwanza hikihiki cha siasa?
Mtoto wa mjini naona leo umeingia chaka vibaya sana kiongozi wangu! hiki kilimo kwanza ni kileeee cha mambo ya 6x6! lakini kilimo kwanza huwa applicable as surprise kwa bibie....... yaani akiwa jikoni anapika nawe unakaa aside kidogo unasaidia kukata kitunguu mara mzuka unapanda kisha unalianzisha hapo hapo bila kuchange venue, au akiwa sebuleni ana-pass nguo , ile kuinama inakupa mzuka then unawasha mashine faster! na unapata full ushirikiano mkuuu! hiyo ndio kilimo kwanza!
Sio ile ya hadi kuzima taaa ya usiku tu no plse! Kilimo kwanza ni nzuri sana mkuu! try it then tuletee feedback hapa!
nafikiri uko sahihi
wos kakosea jukwaa ...
lazma wawe wasemaji wakuu cuz they are experienced kilimo maan!Nisaidieni jamani...Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza!Ni kweli wao ndio walimaji?
wos atarudi kutoa maelezo
but so far alimaanisha kilimo cha kawaida cha mashambani na sio sex...