Ndagullachrles
Senior Member
- Jun 20, 2023
- 153
- 161
Mbunge wa mchongo huyo mtoto wa babaKuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo.
Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi na huyo anayewalipa malengo yake ni yapi?
Nimewaliza hao wanaoednesha harakati hizo lakini wasipojibu basi nitarudi hapa na nitawataja ili tuendelee na mjadala pamoja na ayewatumia tutampata tu ,hii dunia kwa sasa ni sawa na kijiji tu.
Mtoto wa Baba nani?Mbunge wa mchongo huyo mtoto wa baba
Sema una iman naye usitumie wingi Tangu ndesamburo aondoke moshi imekuwa hovyo sana sio jafary wa chadema au Tarimo wa ccm wote wale wale hamna maajabu wengi ni wabinafsiYaani sisi wa hapa moshi mjini, tusizisikie, halafu wewe unataka watu wa Dar na mwanza wakujibu, kama ni mambo ya kichama, peleka kwenye chama, au kama ni chama kingine angalia namna ya kulitatua na sio kuanzisha mada ya nchi nzima, sisi tuna imani nae na hana shida yoyote, na 99% ya wakazi wa moshi mjini hawana hizi yaarifa zako.