Wanamakambako kwa mbunge huyu tumepigwa

Wanamakambako kwa mbunge huyu tumepigwa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.

Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.

Huyu mbunge wetu Sanga tangu tumemchagua kwenda bungeni amekuwa ni mtu wa kusifia tu bila ya hata aibu na hata kufikia kujisahau na kutaka kuikanyaga katiba yetu.

Ebu msikilizeni waungwana.

Mbongo anatimiza wajibu wake

Sasa hapo shida ni nini?

Huyo mbongo kila awamu anatimiza wajibu wake tu
 
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2324080
Wanafanya yale Watanzania wanayo fanya, Hii nchi kusifia ni tamaduni sasa, kujipendekeza ni uatamaduni, na mbaya tuna risisha hadi watoto wetu, yaani Japani ina risisha watoto akili za kuzalisha Magari zaidi, Bongo tuna warisisha utamaduni wa kujipendekeza na kujikomba.

Huyo mbunge wenu yuko sawa kwa sababu hata Watanzania asilimia 90 ndo walivyo watu wa kijipendekeza haijalishi kasoma au la tena wasomi ndo balaaa tupu angalia Prf Kabudi na ishu ya kutolewa jalalani.
 
MBUNGE huyo ana NDIMI MBILI
 
Hakuna mbunge hata mmoja anafanya yale yalioko kwenye katiba hakuna, wanacho danya ni ku act na machozi ya Mamba pale Dodoma wakitoka pale wakirudi majimboni wanapitia Hardware wananunua mifuko 100 ya cement kwenda kudanganyizia wajinga kwamba mbunge atoa mifuko ya Cement na Bati.

Hakuna Bunge pale, na pia wako sawa kwa sababu kwani raia wenyewe wanajitambua? huu ujinga hata Somalia huwezi ukuta.

Wasomali na shida zao zote huwezi wajuta wanajikomba komba kijinga jinga hata Wakenya. Utamaduni wa kujikomba kwa Africa uko Tanzania pekeee
 
Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.

Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi...
Mungekuwa mumepigwa mungeheshimishwa Kwa hayo mabilioni na network aliyonayo kwa matajiri wenzie na Kwa Rais?

Kachague wapinzani afu mje muone moto,Mbeya wanajua vizuri.
 
Na ma biiii, na mabiii, na mabiiii🤣🤣🤣🤣🤣.

But on a serious note wabunge asilimia karbia zote hua wananishangaza sana. Mbunge kachaguliwa na kura za wanachi, akishafika bungeni cha kwanza ni kumsifia raisi at every opportunity as if ye ndo kamchagua.

Ni aibu viongozi wanachofanya. Mtu anapewa dk 5 za kutoa hoja, 3 zote n za kusifia. Huu ujinga sijui utaisha lini bladifaken.
 
Wala usimlaumu Mbunge wenu,kwa Sasa ni wanasiasa wote wanatakiwa kusifia tangu wale wa ccm Hadi upinzani

Wakati mh Rais anapokelewa Dodoma,akitokea Iringa,walipewa nafasi ya kuongea wabunge wote wa Dodoma,Kama ilivyo Ada,wote waliimba wimbo mmoja wa sifa.alivyopewa nafasi Mbunge wa Mpwapwa,yeye hakusifia,alitaja matatizo ya wananchi,tangu Yale ya ukosefu wa barabara Hadi maji...
Mh Rais alikatiza maongezi ya yule Mbunge kwa kumwambia "haya tumekusukia"

Baada ya yule Mbunge kushuka toka kwenye lile gari wanalotumia kusifia,alichukuliwa na wabunge wenzake wote wakamzingira mtu Kati,ni Kama walikuwa wanampa maneno na maonyo kuwa "amekosea / amesahau korasi ya wimbo"
 
Mbongo anatimiza wajibu wake
Sasa hapo shida ni nini?
Huyo mbongo kila awamu anatimiza wajibu wake tu
Kulazimisha rais atawale milele kinyume na katiba ndiyo kutimiza wajibu wake?
 
Mlichagua mbunge kwa kigezo cha fedha na uchawi mlitegemea nn?

Muwe mnaenda kwenye mikutano ya kampeni na akili zenu zote kuwasikiliza wagombea wote kisha mnafanya maamuzi makini.
Tulifuata wingi wa magari aliyo nayo
 
Wanafanya yale Watanzania wanayo fanya, Hii nchi kusifia ni tamaduni sasa, kujipendekeza ni uatamaduni, na mbaya tuna risisha hadi watoto wetu, yaani Japani ina risisha watoto akili za kuzalisha Magari zaidi, Bongo tuna warisisha utamaduni wa kujipendekeza na kujikomba.

Huyo mbunge wenu yuko sawa kwa sababu hata Watanzania asilimia 90 ndo walivyo watu wa kijipendekeza haijalishi kasoma au la tena wasomi ndo balaaa tupu angalia Prf Kabudi na ishu ya kutolewa jalalani.
Basi tumekwama sana kama taifa
 
Wala usimlaumu Mbunge wenu,kwa Sasa ni wanasiasa wote wanatakiwa kusifia tangu wale wa ccm Hadi upinzani

Wakati mh Rais anapokelewa Dodoma,akitokea Iringa,walipewa nafasi ya kuongea wabunge wote wa Dodoma,Kama ilivyo Ada,wote waliimba wimbo mmoja wa sifa.alivyopewa nafasi Mbunge wa Mpwapwa,yeye hakusifia,alitaja matatizo ya wananchi,tangu Yale ya ukosefu wa barabara Hadi maji...
Mh Rais alikatiza maongezi ya yule Mbunge kwa kumwambia "haya tumekusukia"

Baada ya yule Mbunge kushuka toka kwenye lile gari wanalotumia kusifia,alichukuliwa na wabunge wenzake wote wakamzingira mtu Kati,ni Kama walikuwa wanampa maneno na maonyo kuwa "amekosea / amesahau korasi ya wimbo"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alieasisi huu mfumo wa kusifia alikuwa ni jiwe,kabla ya Magufuli japo sifa zilikuwepo lkn haikuwa saana ila baada ya jiwe,mmmmh
 
Mlichagua mbunge kwa kigezo cha fedha na uchawi mlitegemea nn?

Muwe mnaenda kwenye mikutano ya kampeni na akili zenu zote kuwasikiliza wagombea wote kisha mnafanya maamuzi makini.
Kumbe walichagua mchawi kuwa mbunge wao teh... teeh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Deo Sanga ni mjukuu wa Mwakipande mganga mkuu wa Wakinga.

Hata akija kugombea Ubunge hapa Rombo atashinda kwa sababu tunatumia " ndumba" zao

cc: Benjamin Netanyahu
 
Back
Top Bottom