Wanamakambako kwa mbunge huyu tumepigwa

Wanamakambako kwa mbunge huyu tumepigwa

Umaskini wa taifa hili unachangiwa na mambo mengi,mojawapo ni hili lakua na viongozi wabovu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alieasisi huu mfumo wa kusifia alikuwa ni jiwe,kabla ya Magufuli japo sifa zilikuwepo lkn haikuwa saana ila baada ya jiwe,mmmmh
Tabia za viongozi wapenda sifa mara nyingi ndiyo uharibu uhai wa taifa
 
Kwani hapo kuna mbunge?
Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.

Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.

Huyu mbunge wetu Sanga tangu tumemchagua kwenda bungeni amekuwa ni mtu wa kusifia tu bila ya hata aibu na hata kufikia kujisahau na kutaka kuikanyaga katiba yetu.

Ebu msikilizeni waungwana.

View attachment 2324080
 
Watu wa makambako wanaangalia maendeleo sio mbwe mbwe nyingi za mdomoni afu ukienda Jimbo husika lipo hoi Cha msingi Ni maendeleo tu
 
Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.

Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.

Huyu mbunge wetu Sanga tangu tumemchagua kwenda bungeni amekuwa ni mtu wa kusifia tu bila ya hata aibu na hata kufikia kujisahau na kutaka kuikanyaga katiba yetu.

Ebu msikilizeni waungwana.

View attachment 2324080
Mmepigwa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alieasisi huu mfumo wa kusifia alikuwa ni jiwe,kabla ya Magufuli japo sifa zilikuwepo lkn haikuwa saana ila baada ya jiwe,mmmmh
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom