Ulimchagua? Si aliteuliwa na mwendazake yule mwehu?Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.
Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.
...
Wanafanya yale Watanzania wanayo fanya, Hii nchi kusifia ni tamaduni sasa, kujipendekeza ni uatamaduni, na mbaya tuna risisha hadi watoto wetu, yaani Japani ina risisha watoto akili za kuzalisha Magari zaidi, Bongo tuna warisisha utamaduni wa kujipendekeza na kujikomba.Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.
Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.
Huyu mbunge wetu Sanga tangu tumemchagua kwenda bungeni amekuwa ni mtu wa kusifia tu bila ya hata aibu na hata kufikia kujisahau na kutaka kuikanyaga katiba yetu.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2324080
MBUNGE huyo ana NDIMI MBILIKazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.
Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi.
Huyu mbunge wetu Sanga tangu tumemchagua kwenda bungeni amekuwa ni mtu wa kusifia tu bila ya hata aibu na hata kufikia kujisahau na kutaka kuikanyaga katiba yetu.
Ebu msikilizeni waungwana.View attachment 2324080
Mungekuwa mumepigwa mungeheshimishwa Kwa hayo mabilioni na network aliyonayo kwa matajiri wenzie na Kwa Rais?Kazi ya mbunge siyo kupongeza na kusifia watendaji na watawala.
Kazi ya mbunge ni kushauri, kuhoji na kusimamia shughuli za kimaendeleo kwa manufaa ya wananchi...
Basi tumekwama sana kama taifaWanafanya yale Watanzania wanayo fanya, Hii nchi kusifia ni tamaduni sasa, kujipendekeza ni uatamaduni, na mbaya tuna risisha hadi watoto wetu, yaani Japani ina risisha watoto akili za kuzalisha Magari zaidi, Bongo tuna warisisha utamaduni wa kujipendekeza na kujikomba.
Huyo mbunge wenu yuko sawa kwa sababu hata Watanzania asilimia 90 ndo walivyo watu wa kijipendekeza haijalishi kasoma au la tena wasomi ndo balaaa tupu angalia Prf Kabudi na ishu ya kutolewa jalalani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alieasisi huu mfumo wa kusifia alikuwa ni jiwe,kabla ya Magufuli japo sifa zilikuwepo lkn haikuwa saana ila baada ya jiwe,mmmmhWala usimlaumu Mbunge wenu,kwa Sasa ni wanasiasa wote wanatakiwa kusifia tangu wale wa ccm Hadi upinzani
Wakati mh Rais anapokelewa Dodoma,akitokea Iringa,walipewa nafasi ya kuongea wabunge wote wa Dodoma,Kama ilivyo Ada,wote waliimba wimbo mmoja wa sifa.alivyopewa nafasi Mbunge wa Mpwapwa,yeye hakusifia,alitaja matatizo ya wananchi,tangu Yale ya ukosefu wa barabara Hadi maji...
Mh Rais alikatiza maongezi ya yule Mbunge kwa kumwambia "haya tumekusukia"
Baada ya yule Mbunge kushuka toka kwenye lile gari wanalotumia kusifia,alichukuliwa na wabunge wenzake wote wakamzingira mtu Kati,ni Kama walikuwa wanampa maneno na maonyo kuwa "amekosea / amesahau korasi ya wimbo"
Kumbe walichagua mchawi kuwa mbunge wao teh... teeh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mlichagua mbunge kwa kigezo cha fedha na uchawi mlitegemea nn?
Muwe mnaenda kwenye mikutano ya kampeni na akili zenu zote kuwasikiliza wagombea wote kisha mnafanya maamuzi makini.
Deo Sanga ni mjukuu wa Mwakipande mganga mkuu wa Wakinga.Kumbe walichagua mchawi kuwa mbunge wao teh... teeh... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]