Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

Nona kuna uchawi pale japo nikiulizwa zaidi uchawi ni nini bado sitakuwa na jibu la moja kwa moja.
 
Kile ni kiini macho. Yaani macho yako yanadanganywa kupitia maujanja Ya watu.sio uchawi wala sayansi
 
Wakuu huwa ninajiuliza ila sijapata jibu naomba munisaidie wajuzi wa mambo mazingaombwe ni nini?

Na wanafanyaje wazingaombwe na ili uweze kufanya unatakiwa uwe vipi ili uoneshe manjonjo

Nawasilisha oja..
images.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
What should I search in youtube to satisfy my curiosity? Maana ukiandika magics au how magic is being done wanakuletea magic shows zao. Hayaniambie mkuu
Andika Magic's Biggest Secret Finally Revealed

Uzuri uwe umeshawahi kuangalia hiyo trick, jamaa wajanja sana.
 
Back
Top Bottom