Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!

Bella ciao Le commandant.....
 
Wewe mwenyewe masopakyindi aka "macho kwenye ugali" ni mwana Mbeya kutoka Rungwe au Kyela. Acha uzushi hapa. Chukueni dada yenu Tulia akawe mbunge wa Busokelo. Mbeya HATUMTAKI
Ukabila ndio umewafanya msiendelee, mnakimbilia milimani wenzenu wakiwaletea maendeleo, huo ndio ukweli.
 
Nasikia unaishi nyumba ya tope Mwanjelwa Mafiati, karne hii ya 21!
Hata Dar es Salaam kuna nyumba za matope. Tukutane mitaa ya Kigogo, au Mburahati nikuonyeshe.

Kuishi nyumba ya matope ukiwa na Mbunge uliyemchagua wewe mwenyewe ni hadhi kuliko kuishi nyumba ya concrete halafu mbunge wako ni Tulia aliyeletwa na Mwendazake
 
Kama kigezo chako kama mwana Mbeya ni kushindana uchovu na wachovu, jua hamtaliona kamwe.
Uko gizani na hujui uko gizani.
Kigezo cha maendeleo yako ni Keko Toroli,Kigogo, Mburahati na watu wa aina yako.
Pole tu.
 
We mpumbavu unadhani Tulia anaweza kuleta maendeleo Mbeya? Halafu kwa akili zako unadhani kukaa mabondeni ndiyo akili? Au umesahau mafuriko yanavyoua ndugu zako Kyela.

Wewe usiye na ukabila una maendeleo gani? Sheenzy taipu
Mkuu wewe shindana na wenzio wa kajamba nani.
Usitake kushindana na wastaarabu, mnairudisha Mbeya nyuma.
 
Kuwa kwake ipu ni kwa manufaa yake na familia yake hatunufaiki na cho hote
 
Mkuu wewe shindana na wenzio wa kajamba nani.
Usitake kushindana na wastaarabu, mnairudisha Mbeya nyuma.
Nani mstaarabu? Huyu kigagula wenu aliyepokea rushwa ya DP WORLD? Na hiyo Mbeya unayoisema tunairudisha nyuma, tunairudishaje wakati Magufuli alikataa kuleta maendeleo kuanzia 2016? Na huyo kidudu mtu wako Tulia amefanya nini kwa miaka 3 sasa
 
Pole ndugu yangu, mshamba wa Inyala.
Karibu Mwanza tukufundishe maendeleo ni nini katika Jiji.
Mtatufundisha nini nyinyi wasukuma zaidi ya uchawi tu na kulala na mifugo nyumba moja.

Hakuna mijitu ya hovyo kama wasukuma Tamzania. Kwanza mnaua watu wazima utadhani nyinyi hamuwezi kuzeeka? Mnaua albino ili muende mkapate madini. Kuwa msukuma ni adhabu na dhambi
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!

Kwani Arusha kilipojengwa chuo kikuu ni eneo katika nchi gani? Au wewe ni mkabila? Nahisi unatokea huko maana kwa ukabila huko kunanuka!
 
Kwanza ulipo hapo ni mSkini na una akili ya kimaskini. Nenda kwenu kijijini kafanye kazi za vibarua huko, shenzi type!
Mtu akianza kutukana, kama washamba wafanyavyo, basi najua ujumbe umemkolea na ndio ukweli anaojaribu kuuficha.

Braza, ondoka kushabikia mbavu za mbwa, endelezeni kwenu Mbeya, sioni Sugu kuwaendeleza kifikra kuacha kushabikia umasikini.

Mvua hizi za El Nino usikae mbali na banda lako la tope hapo Mwanjelwa.
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Kwani lini wana Mbeya walimchagua huyo Njiti? Huyo alipelekwa bungeni kwa mtutu wa bunduki na siyo kwa kura.
 
Hafanyi Chochote Mbeya,,no Umeme,, barabara za iwambi Zote chafu Mnoo,,zimebaki ahadi tuu

🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo sugu kwa miaka 10 aliyokaa ndiyo amewajengea mabarabara ya kutosha.
Nyie kwa sababu ya ujinga wenu endeleeni kumpiga madongo tulia mwenye ushawishi, huku mkimshangilia sugu ambaye anajisifia amejenga ghorofa. Mtakumbuka shuka asubuhi hii hapa.
 
Sasa kama huko kimataifa wanamkubali mbeya wataachaje kumchagua? Tayari keshapa exposure kubwa jimboni kwake watamchagua wasije wakamuaibisha huko kimataifa. Ila siasa zina maajabu yake pamoa na uspika wake wa huko kimataifa anaweza asipate kura za kutosha kuwa mbunge wa mbeya mjini kama akipambana na mgombea imara na mwenye nguvu za ushawishi mkubwa
 
Back
Top Bottom