Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Kwa hiyo unafananisha Dar na huo uchafu uliozagaa hapo Mbeya nzima?
Ndiyo kila Mji una sehemu porshe na sehemu kajamba nani. Wewe unachukua mitaa ya Posta na Kariakoo Dar es Salaam halafu unalinganisha na kajamba nani ya Mbeya yaani Ilemi, Isanga, Mwanjelwa!

Mbona huitaji Uzunguni, Block X, Block T, Ivumwe nk
 
Hiyo takataka haitusaidiii chochote Mbeya. Kuwa Rais wa IPU ni sawa na kuwa admin wa WhatsApp group ya watu mliosoma pamoja. Tulia awafanganyeni wajinga tu kuwa hicho cheo kina maana
Barabara zote zilizojengwa jijini Mbeya wakati wa Sugu hazipitiki. Yaani ni takataka barabarani. Ni kama Tulia anazijenga upya hazijawahi jengwa. Angalia kwenda Isyesye, Ituha, jamatini, isanga, block T ni mashimo matupu. Mbeya Haina Barabara kabisa mitaani inazidiwa hata na Urambo ya Samweli Sitta. Barabara ziko imara toka enzi za Sitta. Mzee Sita akiwa spika Alijenga Barabara za kueleweka Kila mtaa!

Sugu hawezi kupewa hata ujumbe wa 10/10. Ameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chake. Mbeya inajielewa haitaki mtu Wala chama inataka maendeleo tu. Sabasaba Mbeya Kuna ukumbi wa kimataifa wa CCM alioujenga. DR. Tulia. Kwa kweli Tulia akiipatia Mbeya inachotaka atakaa kwenye hicho kitu maisha yake yote mpaka Yesu atakaporudi. Sugu alishajaribiwa na wananchi miaka 10 amethibitisha kushindwa.
 
Bado sana sugu kushindwa, Yeye kila mwaka ni kuweka tulia marathon tu huwaga nilivyo kuwa mbeya nilishangaa sana.
 
Barabara zote zilizojengwa jijini Mbeya wakati wa Sugu hazipitiki. Yaani ni takataka barabarani. Ni kama Tulia anazijenga upya hazijawahi jengwa. Angalia kwenda Isyesye, Ituha, jamatini, isanga, block T ni mashimo matupu. Mbeya Haina Barabara kabisa mitaani inazidiwa hata na Urambo ya Samweli Sitta. Barabara ziko imara toka enzi za Sitta. Mzee Sita akiwa spika Alijenga Barabara za kueleweka Kila mtaa!
Sugu hawezi kupewa hata ujumbe wa 10/10. Ameshindwa kujenga hata ofisi ya chama chake. Mbeya inajielewa haitaki mtu Wala chama inataka maendeleo tu. Sabasaba Mbeya Kuna ukumbi wa kimataifa wa CCM alioujenga. DR. Tulia. Kwa kweli Tulia akiipatia Mbeya inachotaka atakaa kwenye hicho kitu maisha yake yote mpaka Yesu atakaporudi. Sugu alishajaribiwa na wananchi miaka 10 amethibitisha kushindwa.
Wewe mjinga unasifia ukumbi wa mikutano ndiyo unaona kitu cha maana?
 
Mimi nina mizimu ya maendeleo, mizimu ambayo wanaMbeya wengi hawana na wanaipiga vita ili waishi kimasikini kama walivyozoea na Sugu wao.
Mbeya haina watu maskini kama Shinyanga,Simiyu,Singida,Dodoma,Mara,Lindi,Mtwara,Pwani na hata Morogoro.
 
Mgonjwa kujilinganisha na wagonjwa wengine huo ni udumavu wa akili.
Ridhika basi na nyumba yako ya tope Mwanjelwa, haina dari vumbi la barabara zisizo na lami mpaka utosini.
Halafu mpigie kura yule wa doe la kati kuikosha nafsi yako.
 
Kama hujiamini hamia Washington au Berlin ili uridhike,Mbeya na Wanambeya ni watu ambao wako mahali salama kuliko unavyofikiri wewe,chakula tele,vinywaji tele,usafiri tele,watu tele,warembo tele,kila kitu kipo kasoro ALSHABAB na HAMAS.
 
Wana Mbeya mnajisifu kwa chakula na vitumbo ndi ndi ndi, halafu unarudi Mwanjelwa kulala nyumba ya tope!
 
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.

Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.

Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.

Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?

Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.

Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.

Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!

Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.

Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.

Mbeya msiwe low achievers!
Ni bora wana Mbeya tuwe WAJINGA kama unavyosema KULIKO kuwa na mbunge Kidudumtu kama TULIA
 
Back
Top Bottom