unatumia kigezo gani kuwa wana Mbeya ni wavivu? Wewe hujafika Mbeya, nakuhakikishia katika mikoa yote ni Mbeya tu ndiyo haina ombaomba wa mitaani kama ilivyo miji mingine
Kwanini ni zoom wakati kuna wasukuma wanaishi mlima Bugando kwenye mawe kama panya buku? WengineView attachment 2803084
Nyie washamba mlioishia kusafiri Inyala , hamjui kama mko nyuma kwa sababu hamtembei.
Kwenye hiyo picha jiji la Mwanza-Rock City zoom.na utafute nyumba ya tope kama Mwanjelwa.
Achana na sisi wewe angalia mkoa wako. Mbeya tunajitambua hatusubiri kupewa maendeleo bali tunajipa wenyewe. Huyo Tulia mpelekeni kwenu Dodoma akawe mbunge wenuNimewahi ishi mbeya, lkn bado sijaridhika na kiwango chao cha maendeleo. Maana pale mjini kuna nyumba za madongo na bati madebe nyingi tu.
Na ujinga wao ni kwamba wanampiga madongo mtu ambaye wakimpa agenda anaweza kuwafanikishia. Wanamkimbilia sugu anayejisifu ana ghorofa.
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.
Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?
Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.
Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.
Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!
Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.
Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.
Mbeya msiwe low achievers!
Achana na sisi wewe angalia mkoa wako. Mbeya tunajitambua hatusubiri kupewa maendeleo bali tunajipa wenyewe. Huyo Tulia mpelekeni kwenu Dodoma akawe mbunge wenu
Hiyo nyumba ya mwananchi wa Mbeya ina shida gani? Utalinganisha na nyumba zenu za tembe ambazo mnalala na ng'ombe.View attachment 2804103
Atakuachaje nawe unaishi nyumba ya tope Mwanjelwa, katikati ya "Jiji" la Mbeya.
Sugu aliekaa miaka kumi kwa nini hakujjenga hizo barabara?
Acha kukashifu Watanzania wenzako, hata huko kwenu ushirikina upo, umasikini ndio wakutosha kabisa.Utakuwa mwana Mbeya, tunawajua ndivyo mlivyo.
Maendeleo NO, ushirikina ubinafsi, umasikini,mtimanyongo ndo kipaumbele.
Hapo mjini SIDO City centre, we uliishiauswekeni Mwanza vijijini.Hiyo nyumba ya mwananchi wa Mbeya ina shida gani? Utalinganisha na nyumba zenu za tembe ambazo mnalala na ng'ombe.
Zaidi ya kupiga jaramba hana kitu.Mwabukusi tumemuona mtu mwenye misimamo thabiti,
Asiogopa vitisho, ni Sifa nzuri za kiongozi wa watu.
Wako wachache Kama yeye siku hizi.
Wengi ni wanafiki.
Wengi ni wabinafsi wanaogopa majina yao kukatwa kwenye kura za maoni wamebaki kijipendekeza , kusifu Na kuabudu (uchawa).
Wabukusi anafaa kuwa mbunge na kuwa spika ili akalinde Na kutetea maslahi ya wananchi wengi wako Taifa na vizazi vyao vilivyoponna vijavyo vikute rasilimali za nchi hizi zikiwa salama na zikiwa protected all the time.
Mbeya sio kama wewe. IPU inawasaidia nini wana mbeya?. Kwanza wabunge wote waliopo bungeni wanatakiwa wapigwe chini.Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.
Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?
Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.
Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.
Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!
Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.
Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.
Mbeya msiwe low achievers!
Hakuna unachokijua kuhusu mbeya we kenge. Mbeya ni wastaarabu ajabu. Hata ungekuwa wewe unaishi mbeya Ona foleni ilivyo mbeya kwa sasa. Unaweza kutoka mwanjelwa tu hapo mpaka Sai km 1 unatumia masaa matatu. Barabara imechanganya magari ya kawaida,maroli ya Zambia na DRC na vibajaji vya tulia kibao. Mji umekuwa takataka. Kama hauna viongozi.Utakuwa mwana Mbeya, tunawajua ndivyo mlivyo.
Maendeleo NO, ushirikina ubinafsi, umasikini,mtimanyongo ndo kipaumbele.
Achana na sisi wewe angalia mkoa wako. Mbeya tunajitambua hatusubiri kupewa maendeleo bali tunajipa wenyewe. Huyo Tulia mpelekeni kwenu Dodoma akawe mbunge wenu
Ukiisha ingiza lobbying kwenye mfumo wa Serikali umehalalisha rushwa. Ni jukumu la Serikali kufanya maendeleo ambayo yako equitableHizo ndo akili zenu za kususa. Ulimwengu ulishaondoka huko. Siku hizi watu wanafanya lobbying. Siyo hizo akili zenu za kishamba. Ndiyo maana Tanzania πΉπΏ mumekua kituko kila kabila mtani wenu.
π π π
CC:: Bujibuji Simba Nyamaume
Ukiisha ingiza lobbying kwenye mfumo wa Serikali umehalalisha rushwa. Ni jukumu la Serikali kufanya maendeleo ambayo yako equitable
Anna Makinda alikuwa Mbunge wa Njombe na Samuel Sitta (RIP) alikuwa mbunge wa Urambo. Je wilaya ya Njombe na Urambo zikoje kimaendeleo?.Lobbying na rushwa zinatofautiana kwa mstari mwembamba sana. Lkn ikitumika vizuri, inaleta maajabu.