eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
unatumia kigezo gani kuwa wana Mbeya ni wavivu? Wewe hujafika Mbeya, nakuhakikishia katika mikoa yote ni Mbeya tu ndiyo haina ombaomba wa mitaani kama ilivyo miji mingine
Nimewahi ishi mbeya, lkn bado sijaridhika na kiwango chao cha maendeleo. Maana pale mjini kuna nyumba za madongo na bati madebe nyingi tu.
Na ujinga wao ni kwamba wanampiga madongo mtu ambaye wakimpa agenda anaweza kuwafanikishia. Wanamkimbilia sugu anayejisifu ana ghorofa.