hujui kitu wewe, kama kungalikuwa na wakiristo UNO ikangalikuwa ishamuekeya vikwazo Letnayahu kama alivymuwekea vikwazo Putin
Bro Udini usikupotoshe,inaonekana huna unalolijua.
Gaza wanapigana waislam kwa wakristo.
Sherin Abu Akleh yule mwandishi wa habari alikua muanglikana mkristo.
Hivi una habari kama makanisa mawili yenye historia ya umri wa zaidi ya miaka 500 yamelipuliwa Gaza!?
Nadhani unajua hiyo ina atharika gani kwa UNESCO.
Ndio maana UN na mataifa kama Belgium,Spain,Norway,Brazil,Colombia yalienda kinyume na Israel na kuisapoti Palestina.
Kinachofanya Israel asiweke vikwazo ni USA na UK basi.
Haya mataifa mawili ndio yanaikingia kifua Israel.
GAZA WANAPIGANA WAISLAM NA WAKRISTO.
Punguza Udini unakutia upofu.