Wanamgambo wa Israel wakiwa kwenye uwanja wa mapambano na Kifaru chao aina Merkava wameviziwa na makomando Hamas kisha kuwekewa mabomu bila wao kushtuka baada sekunde 3 kikalipuka na kubaki majivu
Headline haina ukweli.. Kuwekewa bomu hivyo si kwamba mjeda wa ndani anakuwa na hali mbaya udhaniavyo.. eneo walipochomeka bomu si pa kutisha chombo kinaweza endelea na safari na kuua pia hao maadui... ndio maana video za waislam wa Gaza fupi fupi wao ni ambushi then wanakimbia kijificha tatizo wanapokimbilia wanakuwa washajitokeza wanalipiliwa kwa drone au air strike ndani ya minutes tu.. Hamas ni wapiganaji wa kujificha mwanzo hadi mwisho ndio maana Israel anawaraghai kuondosha majeshi ili warejee hayo maeno kimtego.. Arabs wana hali mbaya wamededi wengi sana