NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yangaKaribuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watanzania bwana mnajifanya mnajua kupata tuu kukosa anhhhhh??Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuache kubeba mabango ya Wanasiasa kwenye michezo. Pia Viongozi wa kisiasa wahudhurie TU kama mashabiki bila ku-influence mambo ya mipira. Yule jamaa kila akiwepo lazima tufungwe!Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ambao wapo nje ya simba na yanga wanaonyesha uwezo kweli???Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yanga
[emoji16] aibu kubwa ya taifa hii.Tatizo kinaanza kwa meneja uwanja
Kwa tulioyaona leo yapo ivo je ambayo hatuyaonagi yatakuwaje
Mkuu nini maoni yako weka mbali ushabiki wako wa simba na yanga.Watanzania bwana mnajifanya mnajua kupata tuu kukosa anhhhhh??
Uwanja mbovuMkuu nini maoni yako weka mbali ushabiki wako wa simba na yanga.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji16] hao bhana haielewekiTanesco wamesingizia kunguru au imekuwaje huko [emoji38][emoji23]!!
Tuboreshe miundombinu kwanza.Tuanze na hili kwanza...View attachment 2569239
Wachezaji waache kutegemea uchawi.. unaficha uwezo wao halisiKaribuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nini maoni yako mkuu??Tuachane na team ya taifa kwa miaka ata mitano huu utani sasa hivi wanatuchukuliaje kuna muda wanacheza hadi unaona aibu
Ehe imekuaje Tena [emoji16]Mashabiki wa Tanzania baada ya mechi
View attachment 2569240
Hizi ni dakika mbaya sana 90+1 wengine wanaita dakika za lala salama, na tumelala salama shikamoo Uganda, kuna mchawi (siku hizi wachawi sio wazee) mmoja leo asubuhi alikua anasema ataenda kuwanga tufungwe ili tuendelee na ligi za ndani maana nje hatupawezi kweli yametimia 90+1 Rogers Mato anaiandikia bao Ugandamashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).