Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).

Karibu kwa maoni mdau.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yanga
 
Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).

Karibu kwa maoni mdau.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watanzania bwana mnajifanya mnajua kupata tuu kukosa anhhhhh??
 
Tuanze na hili kwanza...
20230328_230706.jpg
 
Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).

Karibu kwa maoni mdau.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuache kubeba mabango ya Wanasiasa kwenye michezo. Pia Viongozi wa kisiasa wahudhurie TU kama mashabiki bila ku-influence mambo ya mipira. Yule jamaa kila akiwepo lazima tufungwe!
 
Nakumbuka maneno ya kocha mmoja wa Uganda sio huyu micho baada ya kuifunga timu ya Tanzania kwenye kuwania kuingia kombe la CHAN alihojiwa na mwandishi wa habari. Mwandishi wa habari alimuuliza unahisi ni mbinu Gani ulitumia kushinda mechi na Tanzania walifeli wapi. Yule kocha alimjibu, Tanzania wamewekeza zaidi kwenye hamasa kuliko kwenye mbinu za mpira.
 
Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).

Karibu kwa maoni mdau.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wachezaji waache kutegemea uchawi.. unaficha uwezo wao halisi
 
mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Hizi ni dakika mbaya sana 90+1 wengine wanaita dakika za lala salama, na tumelala salama shikamoo Uganda, kuna mchawi (siku hizi wachawi sio wazee) mmoja leo asubuhi alikua anasema ataenda kuwanga tufungwe ili tuendelee na ligi za ndani maana nje hatupawezi kweli yametimia 90+1 Rogers Mato anaiandikia bao Uganda

Tanzania 0-1 Uganda
 
Back
Top Bottom