Anamzungumzia mh wazir huyo.Jamaa gani kila akiwepo lazima tufungwe? Mtaje tumjue sio unafungafunga maneno km fungu la nyanya
Nakazia hapo hapo hii timu wapewe makocha wazawa [emoji3578]Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yanga
Nimeumia sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kwa uchungu sana mkuu japokuwa unacheka [emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mgunda atoshaaaaaaaaaNakazia hapo hapo hii timu wapewe makocha wazawa [emoji3578]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakika anastahili [emoji123]Mgunda atoshaaaaaaaaa
Nini maoni yako mkuu mbona povu Tena [emoji16]Tuache kuingilia maamuzi ya makocha na kupangia nini Cha kufanya!
Tuache Usimba na Uyanga National Team.
Wachezaji wetu hawana exposure na stamina hawana kabisa,hatuna kiungo mshambuliaji kabisa jana imemlazimu samatta kuja chini kutafuta mipira,sasa maoni yangu ni haya:Karibuni wadau wa mpira huu, siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya Taifa (Taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Noted [emoji3578]Wachezaji wetu hawana exposure na stamina hawana kabisa,hatuna kiungo mshambuliaji kabisa jana imemlazimu samatta kuja chini kutafuta mipira,sasa maoni yangu ni haya:
1.tumazima k9cha wa viungo wa 6anga yule manywele asaidie kujenga fitness ya wachezaji
2.tutafute kiungo mshambuliaji kijana kutoka nje ya nchi tumpe mke na abadili u
raia awe mtanzania na tumuingize kwenye timu
3.tusiwakatishe tamaa hawa wachezaji wetu kwa kuwatukana bali tuzidi kuwapa moyo
Wanaofelisha wapishe nguvu mpyaDah [emoji16] Roma na stamina hao
Mkuu nini maoni yako
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu bado watu wanaimani na msuva na samata inabidi watupishe.Wanaofelisha wapishe nguvu mpya
Hiyo nayo inachangia aisee.Ushabiki wetu wa usimba na uyanga uliopitiliza ndicho chanzo cha stars kufanya vibaya. Lawama zisizo na mashiko kwa wachezaji limekuwa tatizo
Fact [emoji3578]Kocha awe anahudhuria timu zote za ligi kuu. Mwisho wa siku aachwe yeye achague wachezaji, anawaona wanamfaa kwenye timu.
Wengine wabaki washauri tu, wasiingilie kazi ya kocha.
Wachezaji nao wawe na moyo na Taifa lao, wacheze kama wanavyopambania timu aliyotoka.
Serikali nayo iweke motisha zaidi kwenye Timu ya Taifa.
Kwani kocha akipanga kikosi kibovu watanzania pia tunajua mchezaji gani anaweza yupi wakawaidaKocha awe anahudhuria timu zote za ligi kuu. Mwisho wa siku aachwe yeye achague wachezaji, anawaona wanamfaa kwenye timu.
Wengine wabaki washauri tu, wasiingilie kazi ya kocha.
Wachezaji nao wawe na moyo na Taifa lao, wacheze kama wanavyopambania timu aliyotoka.
Serikali nayo iweke motisha zaidi kwenye Timu ya Taifa.
[emoji3578]Kwani kocha akipanga kikosi kibovu watanzania pia tunajua mchezaji gani anaweza yupi wakawaida