Wanamichezo na wadau wa mpira wa miguu njooni tujadili nini kifanyike ili timu yetu ya Taifa ipige hatua zaidi?

Karibuni wadau wa mpira huu, siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya Taifa (Taifa stars).

Karibu kwa maoni mdau.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wachezaji wetu hawana exposure na stamina hawana kabisa,hatuna kiungo mshambuliaji kabisa jana imemlazimu samatta kuja chini kutafuta mipira,sasa maoni yangu ni haya:
1.tumazima k9cha wa viungo wa 6anga yule manywele asaidie kujenga fitness ya wachezaji
2.tutafute kiungo mshambuliaji kijana kutoka nje ya nchi tumpe mke na abadili u
raia awe mtanzania na tumuingize kwenye timu
3.tusiwakatishe tamaa hawa wachezaji wetu kwa kuwatukana bali tuzidi kuwapa moyo
 
Noted [emoji3578]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ushabiki wetu wa usimba na uyanga uliopitiliza ndicho chanzo cha stars kufanya vibaya. Lawama zisizo na mashiko kwa wachezaji limekuwa tatizo
 
Kocha awe anahudhuria timu zote za ligi kuu. Mwisho wa siku aachwe yeye achague wachezaji, anawaona wanamfaa kwenye timu.
Wengine wabaki washauri tu, wasiingilie kazi ya kocha.

Wachezaji nao wawe na moyo na Taifa lao, wacheze kama wanavyopambania timu aliyotoka.
Serikali nayo iweke motisha zaidi kwenye Timu ya Taifa.
 
Fact [emoji3578]
 
Kwani kocha akipanga kikosi kibovu watanzania pia tunajua mchezaji gani anaweza yupi wakawaida
 
Back
Top Bottom