WANAMSIMBAZI hiki ndio kikosi changu cha ushindi dhidi ya nyuma mwiko

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Kama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.

1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che malone fondoh
5. Abdulrazaki hamza
6. Yusuph kagoma
7. Edwin balua
8. Debora fernandez
9. Leonel ateba
10. Jean ahoua
11. Kibu denisi

"UBAYA UBWELA" TUNAITAKA MECHI,AFE NG,OMBE AFE MMASAI.
 
Anza na Chasambi badala ya Balua,Balua akianza hua simzuri km akitokea sub.
Ila kocha wa simba amemeza mkeka tyr ataanza na Mutale wake mtoto mpoteza mipira.
NB
Wachezaji wa simba wote wamelala Kwa mzee mpili hakuna mpira hapo ni mazombi Tupi,kadi nyekundu ipo pia
 
chasambi match fitness hana na kocha hawezi mpganga coz hamkubali lakini dogo anajua boli. Mutale ananiudhi sana match leo kama atazingua ntaenda uwanjani kumkata vibao sijui kocha anampendea nini?
 
Kama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.

1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che malone fondoh
5. Abdulrazaki hamza
6. Yusuph kagoma
7. Edwin balua
8. Debora fernandez
9. Leonel ateba
10. Jean ahoua
11. Kibu denisi

"UBAYA UBWELA" TUNAITAKA MECHI,AFE NG,OMBE AFE MMASAI.
Mbona mikia mnajiamini sana mechi hii ? Mmechungulia nini ..
 
Back
Top Bottom