Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hata kwenye ngao mlisema hivyo hivyo..?tumechungulia leo nyuma mwiko analiwa kimoja cha nguruwe.
Ikitokea ukafungwa ni umefungwa mambo ya tuliwafunga sana ni kujipa moyo tu.Pia tumewafunga sana Wala hatuna stress, hata tukifungwa ..
Kibu Denis toaKama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.
1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che malone fondoh
5. Abdulrazaki hamza
6. Yusuph kagoma
7. Edwin balua
8. Debora fernandez
9. Leonel ateba
10. Jean ahoua
11. Kibu denisi
"UBAYA UBWELA" TUNAITAKA MECHI,AFE NG,OMBE AFE MMASAI.
acha kutia huruma leo lazima tuwafunge viande nyinyi.Mimi yanga ila ukweli leo hii game mngempanga manura kuna jinsi angesaidia kupunguza idadi ya magoli. Kitacho wakuta msije sema atukuwaambia. Kama unabet tafadhali hata droo husiwape simba.
Kocha anampenda ama hana options?!chasambi match fitness hana na kocha hawezi mpganga coz hamkubali lakini dogo anajua boli. Mutale ananiudhi sana match leo kama atazingua ntaenda uwanjani kumkata vibao sijui kocha anampendea nini?
😂😂😂😂😂Naomba hata droo tu. Nimechoka mimi