WANAMSIMBAZI hiki ndio kikosi changu cha ushindi dhidi ya nyuma mwiko

WANAMSIMBAZI hiki ndio kikosi changu cha ushindi dhidi ya nyuma mwiko

Kama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.

1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che malone fondoh
5. Abdulrazaki hamza
6. Yusuph kagoma
7. Edwin balua
8. Debora fernandez
9. Leonel ateba
10. Jean ahoua
11. Kibu denisi

"UBAYA UBWELA" TUNAITAKA MECHI,AFE NG,OMBE AFE MMASAI.
Na mkifungwa?
 
Litakufa jitu tukitoboa uwongozi uwendelee ila tukipingwa uwongozi leo utavunjika leo mapema sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama kocha atapanga kikosi kifuatacho leo mapema nyuma mwiko na msemaje wao ashura mayutiai wanapasuka mapema. Mfumo ni 4~2~3~1.

1. Musa camara
2. Shomari kapombe
3. Mohamedi hussen
4. che malone fondoh
5. Abdulrazaki hamza
6. Yusuph kagoma
7. Edwin balua
8. Debora fernandez
9. Leonel ateba
10. Jean ahoua
11. Kibu denisi

"UBAYA UBWELA" TUNAITAKA MECHI,AFE NG,OMBE AFE MMASAI.
kwa kikosi hicho munapakuliwa vizuri tu.
 
Naona umeamua kuvunja kabati๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila chaajabu umetoka na malonya lonya.
Hapo hakuna hata mchezaji mmoja anae weza anza kwenye kikosi cha Yanga.

Kiufupi leo nunaenda kupakuliwa nyingi tu.
 
Back
Top Bottom