WANAMSIMBAZI hiki ndio kikosi changu cha ushindi dhidi ya nyuma mwiko

Pia tumewafunga sana Wala hatuna stress, hata tukifungwa ..
 
Reactions: Tsh
Mimi yanga ila ukweli leo hii game mngempanga manura kuna jinsi angesaidia kupunguza idadi ya magoli. Kitacho wakuta msije sema atukuwaambia. Kama unabet tafadhali hata droo husiwape simba.
 
Kibu Denis toa
 
Mimi yanga ila ukweli leo hii game mngempanga manura kuna jinsi angesaidia kupunguza idadi ya magoli. Kitacho wakuta msije sema atukuwaambia. Kama unabet tafadhali hata droo husiwape simba.
acha kutia huruma leo lazima tuwafunge viande nyinyi.
 
chasambi match fitness hana na kocha hawezi mpganga coz hamkubali lakini dogo anajua boli. Mutale ananiudhi sana match leo kama atazingua ntaenda uwanjani kumkata vibao sijui kocha anampendea nini?
Kocha anampenda ama hana options?!
Nina shaka na nidhamu ya mazoezi ya Chasambi. Vijana wa kiTanzania tunajua mindset zao zilivyo. Hawapendi kujituma na wanawahi kuridhika hususani akishanunua Crown Athlete.
 
Yanga hii unaifungajee, unaifungajee??....wewe huogopi???... huogopi...πŸŽ΅πŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΆπŸŽ§πŸŽ§πŸŽΆπŸŽΆπŸŽ΅πŸŽ΅βœ…πŸŸ’πŸŸ’πŸŸ’πŸŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…