Wanamsimbazi Twendeni Tukaishangilie timu yetu

Nahonyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
5,550
Reaction score
5,379
Wanamsimbazi twendeni, tukawape motisha wachezaji wetu, na timu kijumla.
Utofauti wetu na vilabu vingine ni pamoja kuwa na mashabiki kama sisi, kwahiyo basi twendeni tukawape hamasa wechezaji wetu.
Leo kutakua na kandanda safi lenye burudani tele, na kamwe huwezi angalia mpira huu wa leo ukiwa umeshika shavu, kama walivyo shika walioshika. Ushindi mkubwa wenye magoli zaidi ya matatu upo
Shime karibuni Taifa.
 
Hakika ...simba taifa kubwa leo ushindiii lazima
 
Mkuuu tutafurika kama kawaida, na bahati nzuri mmejaariwa so kiiingilio si shida.
 
Wamealikwa Wana Msimbazi, hata hivyo timu mbovu ya Tanzania ilicheza jana, Leo ni burudani kwenda mbele, hakuna kushika mbavu.
Nendeni kwenye special thread yenu msitujizae uchafu humu na kujaza server bure tu.
 
Haha haha baada ya miaka mingi kupita mumerudi angalieni msimchezeshe mwenye kadi3 maana ni wageni wa hizi mechi
Umewakumbusha jambo la maana, sababu hawana watu hawatabiriki na bado wataka rufaa hewa mpaka Fifa kumbe kuna wajanja wamekula hela ya appeal fee.
 
Nendeni kwenye special thread yenu msitujizae uchafu humu na kujaza server bure tu.
Kwa hiyo ukiandika kwenye Special thread, ndiyo server haijai.
Kumbe baadhi mashabiki wa Yanga, Mnawivu kiasi hiki, hata Wanamsimbazi wakialikana tu wenyewe mnawashwa, Ila kuwashwa sio matusi, bali mwili kupata hali ya kuhitaji kukunwa.
 
Tupo pamoja wadau wote wa Simba
 
Haha haaa kwani saa10 mbali tuombe uzima tu DHL ofisi zao zipo wazi mpeleke kifurushi chenu kwenda Zurich
Simba ikifungwa njoo nitumie no ya Simu, nikutumie kalaki kamoja uongeze furaha yoko.
Inaweza kukusaidia kumsahau Manji alau nawe ukajitolea kupeleka kifusi pale, Eti mwezi wa sita uwanja utaanza kutumika, wakati wamejaza asante Magufuri tu pale lori kumi tu.
Bomoa baoa isingekuwepo sijui ingepata wapi hata zile lori kumi.
 
Haha haaa kwani saa10 mbali tuombe uzima tu DHL ofisi zao zipo wazi mpeleke kifurushi chenu kwenda Zurich
Kwani unadhani ni kweli huwa wanakata rufaa Fifa?

Kama ulikuwa hujui ile ni janja ya kina Aveva na Kaburu kula zila dolar 10,000/= za ada ya kukatia rufaa.

Simba kama wana akuli timamu leo mtu ahoji risiti kutoka Fifa uone kama haijakuwa hadithi ya paukwa pakawa.
 
Risiti ya nini, na neno Akuli timamu linasimamia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…