Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Wanamsimbazi twendeni, tukawape motisha wachezaji wetu, na timu kijumla.
Utofauti wetu na vilabu vingine ni pamoja kuwa na mashabiki kama sisi, kwahiyo basi twendeni tukawape hamasa wechezaji wetu.
Leo kutakua na kandanda safi lenye burudani tele, na kamwe huwezi angalia mpira huu wa leo ukiwa umeshika shavu, kama walivyo shika walioshika. Ushindi mkubwa wenye magoli zaidi ya matatu upo
Shime karibuni Taifa.