Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

Kati ya hao naemjua ni Stamina tu and I have not listened his music for almost two years now I guess it because of my age or something else. By the way I'll check their music on Youtube and I will drop my opinion.
 
Rapcha mzee wa kutafutiza vina

Ni mwandishi mzuri na anaoenekana ana stori nzuri ila kashindwa kuzipangilia kwa vina

Mcheki Dizasta utaelewa namaanisha nini

Japo hata yeye mwenyewe Rapcha amekuwa akimuangalia nini Dizasta anafanya na kujaribu kufata nyayo zake
Ni kweli Raptcha ni mtunzi mzuri, ila nahisi kama vile anataka kupita njia yake ya kumtambulisha Raptcha kama Raptcha.. Yana ukisia tu unajua R huyo
 
Msodoki yule wa mwaka 2017 kushuka chini alikuwa bomba sana
inawezekana kwani sijamfuatilia dogo sana ila kwenye ku rhyme!

nimesikiliza wengi ambao wana rap... mimi nasikiliza sentensi inapoachia na nyingine inapoingia, huyu dogo kanifurahisha.

nimewasikiliza wengi ambao wana rap kweli, ila rhythm 0. dogo anauwezo wakubeba rhyme ya sentensi ya 3 mpaka sentensi ya tano bila kupoteza maana.

so kwa mtazamo wangu, dogo ni lyricist na rhymer mzuri sana. kwa viwango kwa kweli siwezi kubishana na mtu ila kwa yale nayosikia nikisikia akichana, yupo vizuri!
 
Ile stori yake ya kuitiwa mwizi na demu wake alishindwa kuipangilia hakuitendea haki.

It was nice story angesimama Dizasta au Mawenge ingebamba zaidi
Surr, watu wote wakifanana pia tutakosa burudani, acha Raptcha ajitafute ili tupate radha tofauti tofauti.. Japo ni kazi sana kumuelewa. Dizasta ana flavor yake pia
 
Back
Top Bottom