Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap
1. Nacha
2. Stamina
3. Young Lunya
4. Chid Mentary
5. Tommy Thomas

Hivi na yule aliyechana Haina show show masponsor wanamwaga "Dough" nguvu za kiume tunazo sisi au We mpelekee moto we mpelekee moto na mwingine aliyechana inaongeza Utamu ,wapo kwenye hiyo list yako?
 
Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap
1. Nacha
2. Stamina
3. Young Lunya
4. Chid Mentary
5. Tommy Thomas
bila p mawenge hii list ni feki
 
Back
Top Bottom