Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

To be honesty sikuhizi naichukia sana hiphop ya bongo... Imekua ya kiseng* sana.

Nikikumbuka enzi zile za kina Langa, Fid q, Bonta, Pro. Jay ngoma ya hiphop ilikua ikitoka watu tunakaa kusikiliza mistari...

Sasa sikuhizi mc anakuambia eti nikiwa na hasira nakunja ndita halafu naziweka mfukoni kweli? Acheni utani nyie...

Ndo maana kwenye ngoma ya Tema knowledge ya Fid q ailwahi kuchana kua nikisikiliza hip hop ya bongo si-gain na-lose vingi...

Sikuhizi na bora kumsikiliza zuchu ana mistari kuliko Nacha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]
 
Wengi wanamashairi ya kitoto. Hapo wa kwanza ni Dizasta Vina sema haonekani, kama anavyosema mwenyewe, 'yupo kwenye quantum level'
 
Aisee wewe jamaa unajua Maana ya rap, huyu Young killer au Msodoki pamoja na umri wangu huu lakini huwa namwelewa sana, huwa namlazimisha awe Kendrick Lamar wa bongo
 
Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap
1. Nacha
2. Stamina
3. Young Lunya
4. Chid Mentary
5. Tommy Thomas
Rasco Sembo - ana ngoma kali kama Mungu baba
 
Langa_wakimbie polisi
 
Panga pangua Dizasta ni namba 1

Kimataifa tumpeleke Mex[emoji91]
 
Dizaster ndio rapa mkali wa story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…