Nimeona wimbo wake hivi majuzi unaitwa 'welcome to colombia' km sikosei. Sijui kautoa lini ule......kumbe ndo yupo huko?!!! Anaendelea na shughuli za muziki au?Yupo na kwa sasa anapatikana America ya Kusini - Colombia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona wimbo wake hivi majuzi unaitwa 'welcome to colombia' km sikosei. Sijui kautoa lini ule......kumbe ndo yupo huko?!!! Anaendelea na shughuli za muziki au?Yupo na kwa sasa anapatikana America ya Kusini - Colombia
Yeah, bado anafanya muziki.Nimeona wimbo wake hivi majuzi unaitwa 'welcome to colombia' km sikosei. Sijui kautoa lini ule......kumbe ndo yupo huko?!!! Anaendelea na shughuli za muziki au?
Upungupu wa kinga kimwiliniMbona walikuwa wanakufa wangali wadogo sana , kuna tatizo mahali Ila Franco Luambo alikuwa ni amsha
Naona vijana wa tz wanaiga kwa kasi. Ukipotezana na rafiki unakuja kukutana naye baada ya miaka ashakuwa mwarabuKongo kuna watu wa hovyo, wamegeuka mazombie kwa mikorogo.
[emoji28][emoji28]Naona vijana wa tz wanaiga kwa kasi. Ukipotezana na rafiki unakuja kukutana naye baada ya miaka ashakuwa mwarabu
YupoHivi gatho yupo kweli???
Huyu jamaa alikuwa mchawi wa Saxophone kwenye TP Ok Jazz...kwenye wimbo wa Ida, Franco alichomeka mstari "Loway, lelela ngai papa", halafu zinafuata Sax7. Empompo Loway ( 44 ) 1990
[emoji23][emoji23] aiseeNa kifiro
Alikuwa mmbeya mmbeya sana wakati bosi wake Franco anaugua huko Ubelgiji yeye akawa anatangaza Kinshasa kuwa mzee ana AIDSJean de dieu makiese (madilu system)
Alikuwa fundi Sana naskia ukimwi ndo ulimuua je wajuvi ni kweli?
Yupo ParisHivi Yondo sister yupo wapi ?
Kisukari kili mtesa sana.