Wanamuziki wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo waliotangulia mbele ya haki

Wanamuziki wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo waliotangulia mbele ya haki

atalaku wa alain nkonkou

Sio atalaku alikuwa ni mpiga gitaa wake (soloist). Atalaku wake alikuwa ni Pindi Babilako a.k.a 3615 Code Niawu a.k.a Cherry Niawu a.k.a Niawu Ritacoin. Best Atalaku ever to exist in Congo.
 
Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao.

Alikuwa anaitwa Lily Nedule ni mtoto wa mwanamuziki Papa Noel Nedule.
 
Back
Top Bottom