Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Dec 12, 2022 #81 JAYJAY said: Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao. Click to expand... umenikumbusha mbali "nzawisa"
JAYJAY said: Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao. Click to expand... umenikumbusha mbali "nzawisa"
Tonydigital Senior Member Joined Oct 6, 2014 Posts 186 Reaction score 245 Apr 14, 2023 #82 Mamaya said: atalaku wa alain nkonkou Click to expand... Sio atalaku alikuwa ni mpiga gitaa wake (soloist). Atalaku wake alikuwa ni Pindi Babilako a.k.a 3615 Code Niawu a.k.a Cherry Niawu a.k.a Niawu Ritacoin. Best Atalaku ever to exist in Congo.
Mamaya said: atalaku wa alain nkonkou Click to expand... Sio atalaku alikuwa ni mpiga gitaa wake (soloist). Atalaku wake alikuwa ni Pindi Babilako a.k.a 3615 Code Niawu a.k.a Cherry Niawu a.k.a Niawu Ritacoin. Best Atalaku ever to exist in Congo.
Tonydigital Senior Member Joined Oct 6, 2014 Posts 186 Reaction score 245 Apr 14, 2023 #83 JAYJAY said: Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao. Click to expand... Alikuwa anaitwa Lily Nedule ni mtoto wa mwanamuziki Papa Noel Nedule.
JAYJAY said: Kuna dada mmoja wa Bozi Boziana enzi za "nzawisa" kati ya wale wawili naye alifariki. Kulikuwa na Scola na yule mwingine. Sijui ni yupi kati yao. Click to expand... Alikuwa anaitwa Lily Nedule ni mtoto wa mwanamuziki Papa Noel Nedule.
S sony2 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 2,130 Reaction score 2,413 Apr 17, 2023 #84 Dezoizo52 said: Umemsahau Aurus Mabbelle kafariki miaka ya karibuni Click to expand... Congo brazaville huyoo
Dezoizo52 said: Umemsahau Aurus Mabbelle kafariki miaka ya karibuni Click to expand... Congo brazaville huyoo