Wanamziki chipukizi wanaoshindania tuzo za eatv awards

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,192
Wakuu salaam kwenu,

Yafuatayo ni majina na nyimbo za wasanii chipukizi waliopenya kushindania tuzo za EATV AWARDS zitakazotolewa tarehe 10/12/2016 jijini Dar es salaam,

:Rashid Said (Bright) wimbo nitulize

:Mayunga Nalimi (Mayunga) wimbo-Nice couple

:Feza Kessy wimbo ,sanuka,

:Rukia Jumbe (Rucky Baby) wimbo give me some more,

Yapi maoni yako kuhusu huu mchuano wa hawa chipukizi
Nawatakia kazi njema.
 
mbona tingisha supu ya Gigy Mihela haipo? hizi tuzo wanabugi mapema
 
utaratibu wa kujipendekeza ni wa kipumbavu sana ina maana wenyewe hawakuwa na criteria mpaka afanye maombi mwenyewe
 
Mayunga, bright, fezza kessi nawajua tangia mwaka 2012 leo ni 2016 hivi bado ni chipukizi hawa?? Labda nitakuwa sijui maana ya neno chipukizi
 
Mlicomment wengi hapo juu nmetumwa na mawingu fm..[HASHTAG]#msiforce[/HASHTAG] tufanane.
 
utaratibu wa kujipendekeza ni wa kipumbavu sana ina maana wenyewe hawakuwa na criteria mpaka afanye maombi mwenyewe
Ndio wanaanza mkuu tuwape@ muda tu
 
Mayunga, bright, fezza kessi nawajua tangia mwaka 2012 leo ni 2016 hivi bado ni chipukizi hawa?? Labda nitakuwa sijui maana ya neno chipukizi
Yawezekana wapo sahihi siuliona Barack mwaka jana alichuku nauku alianza kitambo labda wana vigezo vyao wanavyotumia mkuu
 
Wakuu salaam kwenu,

Yafuatayo ni majina na nyimbo za wasanii chipukizi waliopenya kushindania tuzo za EATV AWARDS zitakazotolewa tarehe 10/12/2016 jijini Dar es salaam,

:Rashid Said (Bright) wimbo nitulize

:Mayunga Nalimi (Mayunga) wimbo-Nice couple

:Feza Kessy wimbo ,sanuka,

:Rukia Jumbe (Rucky Baby) wimbo give me some more,

Yapi maoni yako kuhusu huu mchuano wa hawa chipukizi
Nawatakia kazi njema.
Kwangu me ingekuwa hiv
Raymond
Bright
Manfongo
Ibranation
Nandy
Galatone
 
Acha kuponda wakat watu walikuwa wanajipendekeza wenyewe.
 
Back
Top Bottom