Yawezekana wapo sahihi siuliona Barack mwaka jana alichuku nauku alianza kitambo labda wana vigezo vyao wanavyotumia mkuuMayunga, bright, fezza kessi nawajua tangia mwaka 2012 leo ni 2016 hivi bado ni chipukizi hawa?? Labda nitakuwa sijui maana ya neno chipukizi
Raymond vp
Kwangu me ingekuwa hivWakuu salaam kwenu,
Yafuatayo ni majina na nyimbo za wasanii chipukizi waliopenya kushindania tuzo za EATV AWARDS zitakazotolewa tarehe 10/12/2016 jijini Dar es salaam,
:Rashid Said (Bright) wimbo nitulize
:Mayunga Nalimi (Mayunga) wimbo-Nice couple
:Feza Kessy wimbo ,sanuka,
:Rukia Jumbe (Rucky Baby) wimbo give me some more,
Yapi maoni yako kuhusu huu mchuano wa hawa chipukizi
Nawatakia kazi njema.
Galatone na Raymond wa kitambo sio chipukiziKwangu me ingekuwa hiv
Raymond
Bright
Manfongo
Ibranation
Nandy
Galatone