Wanamziki waongoza kazi zao kutazamwa sana mwaka huu wa 2020

Chanzo Kinasema Mwezi April Mtoa mada Guruguja toka Wcb anasema Mwaka huu,.

Hapo King katoa ngoma tu, je angetoa Mbilia au tatu, hapo kuna watu Wana EP na wengine wa album Wengine wana Manyimbo ya kucopy copy kibao Wengine wametoa nyimbo na mademu zao Na wakabust kwa kumtema huyo Demu Wake..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwaka huu hauna mwezi April?
 
Kwani mwaka huu hauna mwezi April?
Kunatofauti ya Mwaka na Mwezi we Guruguja,

Ukisema Mwaka huu inamaana ni kuanzia mwezi wa Kwanza mpaka tarehe ya Leo..

Ukisema Mwezi April inamaana ni kuanzia tarehe 1-30 Mwezi April

Chanzo Kinasema Mwezi wa 4, Guruguja mtoa Mada anasema Mwaka huu, Wewe nae guruguja unakuja kumtetea guruguja mwenzio au Mmezaliwa Tarehe 1 April?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond ana kukera lakini number zina msapoti na kumbeba.

 
Siku ingine uwe unaficha ujinga wako,nimekuuliza mwaka huu hauna mwezi April? hivi kichwa chako kazi yake ni kushikilia masikio tu!!
 
hv mwezi April huyo jamaa kaachia wimbo gan..?
 
Mara ya kwanza naliskia hili neno.... nililiskia kwa King Majuto (RIP)
 
Ujinga umeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…