Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara hiyo kwa viwango vya Lami.