G
guest-1790917349
Guest
Kila kitu kina muda wakeIla Waafrika wa nchi nyingine ni majasiri, duh 😅😅
Ikishafika boiling point.....
Kila kitu kina muda wakeIla Waafrika wa nchi nyingine ni majasiri, duh 😅😅
Kwani maendeleo ni chama au mfumo? China chama kimeongoza miaka mingapi? Tatizo ni viongozi wanaotaka wao ndo wao,kana kwamba nchi imeumbwa kwa ajiri yao na familia zao tu. Anaefanya kazi inayoonekana,hata akae miaka 100. Sema tu Africa kama tumelogwa vile. Kama aliechagua lile lizee la Nigeria,yeye unadhani ana akili sawa?!Bongo sijui tunakwama wapi, haiwezekani kutawaliwa na mchama mmoja huo huo miaka na miaka halafu mpate maendeleo!.
Afrika inawaka motoUsiku wa Oktoba 15, 2025 ghasia kubwa ilizuka nchini Cameroon kufuatia maandamano ya wananchi wakichoma baadhi ya majengo ya Serikali na Jengo la chama cha Cameroon People's Democratic Movement(CPDM) kwa madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 huku matokeo rasmi yakiwa bado hayajatangazwa. Wananchi wengi wamejitokeza barabarani wakipinga kile wanachokiita “uchaguzi wa wizi” na wakitaka Rais Paul Biya aondoke madarakani, wakimtaka Issa Tchiroma Bakari kutangazwa mshindi halali
Katika mji wa Dschang, hali ya taharuki baada ya waandamanaji kuchoma matairi barabarani na kupaza sauti wakisema "Biya si rais wetu tena!
Taarifa zinasema kuwa jengo la chama tawala, Cameroon People's Democratic Movement(CPDM), limechomwa moto, na moshi wa mabomu ya machozi umejaza anga baada ya polisi na jeshi kuingilia kati kutawanya waandamanaji
Baadaye, waandamanaji waliendelea kulenga majengo ya serikali, ambapo mahakama ya Dschang nayo imechomwa moto
Milio ya risasi na kelele za hasira zimekuwa zikirindima mitaani huku wanajeshi wakijaribu kudhibiti hali ya usalama. Mmoja wa wanajeshi waliokuwa eneo la tukio amesema wamefanikiwa kuwakamata baadhi ya washukiwa lakini bado hawajawakamata wote waliokuwa wakihusika
Tumewakamata wachache, lakini bado kuna wengine tumewakosa, ” alisema mwanajeshi huyo
Wachambuzi wanasema mvutano huu unaweza kuongezeka iwapo tume ya uchaguzi haitatangaza matokeo kwa uwazi. Wananchi wanaonekana kuchoshwa na uongozi wa muda mrefu wa Rais Biya, ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miongo minne
Kwa sasa, hali ya Cameroon inazidi kuwa tete, huku dunia ikisubiri kwa wasiwasi kuona kitakachotokea katika siku chache zijazo
Source: Karawa Media
Utakua bado mtoto ama una mtindio wa ubongo kuwaamini hao wahuni wa kijani.Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2025-2030 imetamka wazi kuwa itafanikisha mchakato wa katiba mpya.
Ninawasihi tuwe na subira viongozi wetu wafanye kazi kwa utulivu ili watuletee maendeleo.
#Tanzania kwanza.
Hakunaga ukondooWacameroon nao walikuwa makondoo tu tena kuliko sisi, ila leo hii wamethubutu na wako kwenye uelekeo mzuri wa kumng'oa dikteta Biya..
Hii inaleta matumaini kwakweli kuwa afrika nzima sasa inaelekea kukombolewa.
Sijui watanzania watamtembelea lini Sa100Usiku wa Oktoba 15, 2025 ghasia kubwa ilizuka nchini Cameroon kufuatia maandamano ya wananchi wakichoma baadhi ya majengo ya Serikali na Jengo la chama cha Cameroon People's Democratic Movement(CPDM) kwa madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025 huku matokeo rasmi yakiwa bado hayajatangazwa.
Wananchi wengi wamejitokeza barabarani wakipinga kile wanachokiita “uchaguzi wa wizi” na wakitaka Rais Paul Biya aondoke madarakani, wakimtaka Issa Tchiroma Bakari kutangazwa mshindi halali