Wananchi Cameroon waandamana na kuchoma Majengo ya Serikali wakidai hawamtaki Rais Paul Biya

Bongo sijui tunakwama wapi, haiwezekani kutawaliwa na mchama mmoja huo huo miaka na miaka halafu mpate maendeleo!.
Kwani maendeleo ni chama au mfumo? China chama kimeongoza miaka mingapi? Tatizo ni viongozi wanaotaka wao ndo wao,kana kwamba nchi imeumbwa kwa ajiri yao na familia zao tu. Anaefanya kazi inayoonekana,hata akae miaka 100. Sema tu Africa kama tumelogwa vile. Kama aliechagua lile lizee la Nigeria,yeye unadhani ana akili sawa?!
 
Afrik
Afrika inawaka moto
 
Paul Biya ni 92 years old sasa, hata kuongea hawezi, lakini kuna majinga yanaona sawa na kuanza kuua wanaompinga, ni zaidi ya laana hii
 
Hivi kwa nini Kenya pamoja na kuandamana kote na Gen Z kufa kishujaa bado wanashindwa kumuondoa Raisi?
 
Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2025-2030 imetamka wazi kuwa itafanikisha mchakato wa katiba mpya.
Ninawasihi tuwe na subira viongozi wetu wafanye kazi kwa utulivu ili watuletee maendeleo.
#Tanzania kwanza.
Utakua bado mtoto ama una mtindio wa ubongo kuwaamini hao wahuni wa kijani.

Wanachofanya hua ni kuahirisha tatizo kwa muda tu
 
Wacameroon nao walikuwa makondoo tu tena kuliko sisi, ila leo hii wamethubutu na wako kwenye uelekeo mzuri wa kumng'oa dikteta Biya..

Hii inaleta matumaini kwakweli kuwa afrika nzima sasa inaelekea kukombolewa.
Hakunaga ukondoo
Muwe mnaelewa kuwa nyakati hazizuiliki, ikifika hakuna wa kuzuia
 
Sijui watanzania watamtembelea lini Sa100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ