Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika zoezi la Upigaji kura katika kituo cha shule ya msingi Viziwi Buguruni iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam wameonyesha kuridhishwa na jinisi ambavyo zoezi hilo ambalo linaloendelea katika kituo hicho.
Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu ya kujitokeza kushiriki zoezi hilo ambapo wamesema kuwa bila ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa wanaowataka hawawezi kupata maendeleo.
Wakizungumza na ManaraTv wananchi hao wameeleza sababu ya kujitokeza kushiriki zoezi hilo ambapo wamesema kuwa bila ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa wanaowataka hawawezi kupata maendeleo.